USHAURI ukioa Binti wa Mmeru na wewe siyo Mmeru basi usithubutu kabisa kuishi/kujenga maeneo yao Arusha kuanzia Tengeru usa maji ya chai

USHAURI ukioa Binti wa Mmeru na wewe siyo Mmeru basi usithubutu kabisa kuishi/kujenga maeneo yao Arusha kuanzia Tengeru usa maji ya chai

Mkuu nipe ushauri ni kabila lipi ambalo wanawake zao hawana uhuni ambao ninaweza kupata mke wa kuoa?

Less, kwa uzoefu wangu, Wameru sio Malaya, ila wa huo udhaifu, ila kwa umalaya ndugu usiiguse makabila haya ( najua nachosema, wanafanya Umalaya bila Malengo )

1. Wanyaturu na Wanyiramba.
2. Warangi.
3. Wambulu
4. Wamakonde

Usigzse
 
Kama pesa ya kula ipo, dharau zitoke wapi? Mimi mluguru mix mmeru kwa mama na mbona napangisha wameru fresh tu maji ya chai sabato.
Hizo ni dhana za kizamani kwa sababu makabila kama ya wanyaturu walikuwa wanatafuta kazi za kulima na kukata majani ya ng'ombe na ni watu wanaopenda ushirikina.
Hii iliwafanya wameru waone watu wa makabila mengine kama ni watu maskini wenye mila za kijima, ila muda unavyoenda, wasukuma, wahaya na makabila mengine yanaweza na kuoana na wameru na mambo yanaenda fresh.
Pia kama wewe ni mwanaume ofisa wa jeshi, wameru wanapenda sana jeshi na kupata mke easy tu.
Acha ujuaji wewe mlugaluga Wameru unawajua unawasikia tuulize sisi tulioishi nayo kindakindaki hao wa kwa Aloyce na sabato angalau kuna mchanganyiko wa makabila ndo maana anga linakuwa jepesi mchai,njia ngom'be washachanganyika.....Wao wenyewe wale original wanakiri ni Wabaya weńye fitna wivu ujeuri ubabe sasa ww nan nk.....acha ujuaji
 
Less, kwa uzoefu wangu, Wameru sio Malaya, ila wa huo udhaifu, ila kwa umalaya ndugu usiiguse makabila haya ( najua nachosema, wanafanya Umalaya bila Malengo )

1. Wanyaturu na Wanyiramba.
2. Warangi.
3. Wambulu
4. Wamakonde

Usigzse
Vipi kwa wasukuma na wahangaza
 
Nakwambia kabla ya Maghufuli mwenyekiti wa mtaa alikuwa John mosha. Sasa wewe unaleta mambo ya ubunge, mbona majimbo ya wahaya na wasukuma wagombea wote ni kabila zao?
Alikuwa Mafie,jina la KiMeru pia🤔
 
Ukabila hauna nafasi Tanzania. popote unapoona panafaa kufanya chochote we fanya tu ili mradi hauvunji sheria za nchi.
 
😀😀na hapo Bado hujakutana na mama PT huko Arusha🤣🤣. Wanaume wa kulala lala hovyo....kuna mdogo wangu alienda kazini huko akaoa huko huko sasa haambiliki hashikiki...Hadi mazaa anasema wamempa dawa mtoto wangu😛...dogo amekuwa kimeo....kama kazaliwa Arusha kumbe wakuja tu...hao watu ni hatarii
 
Mku
Daah nimekumbuka mbali nimeishi Sana tengeru nawjua vzr wa meru binafsi nawapenda Sana wameru. kuna siku nitakuja kuwaletea story ya maisha yangu huko Arusha nilikokaa kwa miaka miwili kwa kweli nikikumbuka maisha Yale huwa nalia Sana wakuu na kukuta moyo wangu unadunda Sana na notawaelezo jinsi mama WA kimeru alivyonilea kama mwanaye hakika kuna siku notarudi tena tengeru ili nilipe fadhila za huyu mama
uulikaa Tengeru sehem gani
 
Wameru siyo watu wa kuoa au kuolewa nao na hata wenyewe kwa wenyewe hawajitaki kama unabisha nenda kafanye ziara ya matembezi huko USA, Maji ya chai, tengeru, sing'isi na maeneo mengine yote utagundua wale ni chui wenye njaa waliojificha kwenye umbo la binadamu.

Nb. KAMA WEWE NI WAKUJA UKIOA AU KUOLEWANA MMERU JUA MUDA NI JIBU TOSHA NA SIKU YEYOTE MAPANGA YANAKUHUSU
 
Back
Top Bottom