USHAURI ukioa Binti wa Mmeru na wewe siyo Mmeru basi usithubutu kabisa kuishi/kujenga maeneo yao Arusha kuanzia Tengeru usa maji ya chai

Naunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,Arusha🤔
Kama pesa ya kula ipo, dharau zitoke wapi? Mimi mluguru mix mmeru kwa mama na mbona napangisha wameru fresh tu maji ya chai sabato.
Hizo ni dhana za kizamani kwa sababu makabila kama ya wanyaturu walikuwa wanatafuta kazi za kulima na kukata majani ya ng'ombe na ni watu wanaopenda ushirikina.
Hii iliwafanya wameru waone watu wa makabila mengine kama ni watu maskini wenye mila za kijima, ila muda unavyoenda, wasukuma, wahaya na makabila mengine yanaweza na kuoana na wameru na mambo yanaenda fresh.
Pia kama wewe ni mwanaume ofisa wa jeshi, wameru wanapenda sana jeshi na kupata mke easy tu.
 
Naunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,Arusha🤔
Lete Maneno......
 
Nimekumbuka mbali sana maji ya chai sabato daah,,
 
Kuna mchaga alishinda uenyekiti wa serikali za mitaa ule wa mchongo kipindi Cha Jiwe.Wameru walimfanyia figisu mpaka alitolewa kwenye hiyo nafasi akawekwa Meru🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…