USHAURI ukioa Binti wa Mmeru na wewe siyo Mmeru basi usithubutu kabisa kuishi/kujenga maeneo yao Arusha kuanzia Tengeru usa maji ya chai

Naunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,ArushaπŸ€”
hahaha.. Momela?..mbona watu wenye heshima sana.Dharau zinakuja kulingana na tabia za makabila mengine walizonazo...kuna mila za kimeru ambazo ni nzuri sana kwa kijana wa kiume na wakike jinsi wanatakiwa wawe sasa ukiwnda wewe umetoka pwani unachekecheka, na huna msimamo lazima wakuchukulie kwa dharau
 
Naunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,ArushaπŸ€”
Hata Israel hawependi kuoa mataifa mengine
Hawataki kuchanganya damu na wapumbavu kama nyie
 
Kabla ya hapo Mwenyekiti yule wa chadema ni mmeru?
Ndio ,hawajawahi weka Kiongozi yeyote wa kuja.Vinginevyo hawatoi michango ya maendeleo au hawafanyi kazi za kujitolea!Ninazo Barua za serikali za mitaa Isingekuwa issue ya kimaadili ningeweka hapa iliouone majina ya hao wenyeviti!
 
Hata Israel hawependi kuoa mataifa mengine
Hawataki kuchanganya damu na wapumbavu kama nyie
Wewe bila shaka utakuwa mmoja wa wamachame waliyefukuzwa kwa tuhuma za uchawi na Mangi wa wamamchame huko uchagani wakakimbilia kandokando ya mlima Meru a.k.a MmeruπŸ€”
 
Ugomvi wa Mmeru hauishi.Ni wabishi Mha weka kando
Mnakumbuka mgogoro wa kanisa KKKT ulivyotikisa Meru enzi za mzee Kaaya rip?
Mnamkumbuka mzee Japhet Kirilo alikwenda UNO kudai uhuru wa ardhi ya Wameru?
Kuna mtu aliniambiaga hili kabila wana laana enzi za mkoloni waliua wamisionari walikuja eneza dini.
Sina uhakika na hilo Wameru msinichukie
 
Ndio ,hawajawahi weka Kiongozi yeyote wa kuja.Vinginevyo hawatoi michango ya maendeleo au hawafanyi kazi za kujitolea!Ninazo Barua za serikali za mitaa Isingekuwa issue ya kimaadili ningeweka hapa iliouone majina ya hao wenyeviti!
Mosha ni Mmeru?
Imbaseny
 
Unaweza fananisha vijiji vya Meru na vya Rufiji au Kaliua au Dodoma au Mugumu, Newala, Lindi, Geita, bariadi?
Wameru hawajawahi kuwa na majanga ya njaa, sanasana kisukari na pressure kama wachaga sababu ya pombe na nyama.
 
Wee fulaniii em njoo useme neno kuhusu nyie.
Mmefikiwa huku, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ugomvi wa mmeru huwa hauishi, atakutafuta wewe ataenda shambani kwako atafyeka mazao yako, atasimama barabarani kukusubiria na panga
Mambo ya zamani hayo ninyi msidanganyane aisee nipo Arusha zaidi ya miaka 15 nilianza kuishi Ngurelo kule juu kwao kabisa walikua wanashangaa natoa gari waende kwenye shughuli zao iwe msiba au harusi bure nilipota eneo sehemu ingine walisikitika sana sisi kuhama walijaribu kumitafutia eneo ili nibaki nilikataa tu jamaa ukiishi nao vizuri wapo poa sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…