USHAURI ukioa Binti wa Mmeru na wewe siyo Mmeru basi usithubutu kabisa kuishi/kujenga maeneo yao Arusha kuanzia Tengeru usa maji ya chai

Daah nimekumbuka mbali nimeishi Sana tengeru nawjua vzr wa meru binafsi nawapenda Sana wameru. kuna siku nitakuja kuwaletea story ya maisha yangu huko Arusha nilikokaa kwa miaka miwili kwa kweli nikikumbuka maisha Yale huwa nalia Sana wakuu na kukuta moyo wangu unadunda Sana na notawaelezo jinsi mama WA kimeru alivyonilea kama mwanaye hakika kuna siku notarudi tena tengeru ili nilipe fadhila za huyu mama
 
Mnaowasema Wameru, hebu tuambieni pia makabila yenu ili tuwalinganishe na Wameru, tuone kama nyie ni bora kuliko hao Wameru...
mleta mada kuwa wa kwanza kutuambia kabila lako, upewe majibu yako
 
Nakwambia kabla ya Maghufuli mwenyekiti wa mtaa alikuwa John mosha. Sasa wewe unaleta mambo ya ubunge, mbona majimbo ya wahaya na wasukuma wagombea wote ni kabila zao?
Hivi Joshua Nassari amepitishwa au alikatwa
 
Unaweza fananisha vijiji vya Meru na vya Rufiji au Kaliua au Dodoma au Mugumu, Newala, Lindi, Geita, bariadi?
Wameru hawajawahi kuwa na majanga ya njaa, sanasana kisukari na pressure kama wachaga sababu ya pombe na nyama.
Nilidhani unaandika kunipinga au labda nimekushika pabaya kwenye mshono.Niliyoeleza ni ya kweli ila na wewe si wongo umeeleza ukweli mtupu hauna ubishi Wameru wako juu sana pamoja na mapungufu yao na hakuna kabila au kitu kinachokosa mapungufu na mazuri yake.
 
Ni sawa, ila Mimi naenda zaidi Mmeru sio wa kuoa Kabisa, hawafai na hawana maana Kabisa.

Namjua Mama Mmoja ana miaka 67 baada ya kufiwa na Mumewe huko Meru, yeye ni Mnyaturu, walimuua.

Imagine, Mwanamke, alikuwa mfanya kazi wa Serikali, kaishi huko over 40 years, mume kafa hawamtaki.

Huna haja ya kuoa Mmeru, waacheni waoane wenyewe kwa wenyewe maana wao wanawezana.

Sifa yao Moja kubwa, wote wameokoka wanampenda Mungu, ni majitu makatili na ya hovyo.
 

Endelea Kuishi, Mmeru sio mtu, wana roho mbaya na Kiburi kweli, wanawezana wao kwa wao.
 
Wewe ni Mluguru sio Mmeru.
 
Duh mbona mnanitisha wazee, ukijenga mbali na kwao haiwezi kuwa solution?
 
Mkuu nipe ushauri ni kabila lipi ambalo wanawake zao hawana uhuni ambao ninaweza kupata mke wa kuoa?
 
Naunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,Arusha🤔
Uko sahihi kabisa yaani hawa Watu ni shida kabisa.
 
Wameru ni shida sana, Mmeru akiolewa kwenye familia tofauti na Kabila lake hiyo familia haiwezi kuwa na amani hata kidogo kila siku ni maneno na ugomvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…