Mkuu nipe ushauri ni kabila lipi ambalo wanawake zao hawana uhuni ambao ninaweza kupata mke wa kuoa?
Tuambie kabila lakoEndelea Kuishi, Mmeru sio mtu, wana roho mbaya na Kiburi kweli, wanawezana wao kwa wao.
waliopitishwa Uchagani, kuna ambaye si Mchaga..?Soma waliopitishwa Arumeru mashariki ndio utakuwa.Majina yote ya KiMeru🤔View attachment 3439683
Acha ujuaji wewe mlugaluga Wameru unawajua unawasikia tuulize sisi tulioishi nayo kindakindaki hao wa kwa Aloyce na sabato angalau kuna mchanganyiko wa makabila ndo maana anga linakuwa jepesi mchai,njia ngom'be washachanganyika.....Wao wenyewe wale original wanakiri ni Wabaya weńye fitna wivu ujeuri ubabe sasa ww nan nk.....acha ujuajiKama pesa ya kula ipo, dharau zitoke wapi? Mimi mluguru mix mmeru kwa mama na mbona napangisha wameru fresh tu maji ya chai sabato.
Hizo ni dhana za kizamani kwa sababu makabila kama ya wanyaturu walikuwa wanatafuta kazi za kulima na kukata majani ya ng'ombe na ni watu wanaopenda ushirikina.
Hii iliwafanya wameru waone watu wa makabila mengine kama ni watu maskini wenye mila za kijima, ila muda unavyoenda, wasukuma, wahaya na makabila mengine yanaweza na kuoana na wameru na mambo yanaenda fresh.
Pia kama wewe ni mwanaume ofisa wa jeshi, wameru wanapenda sana jeshi na kupata mke easy tu.
Vipi kwa wasukuma na wahangazaLess, kwa uzoefu wangu, Wameru sio Malaya, ila wa huo udhaifu, ila kwa umalaya ndugu usiiguse makabila haya ( najua nachosema, wanafanya Umalaya bila Malengo )
1. Wanyaturu na Wanyiramba.
2. Warangi.
3. Wambulu
4. Wamakonde
Usigzse
Alikuwa Mafie,jina la KiMeru pia🤔Nakwambia kabla ya Maghufuli mwenyekiti wa mtaa alikuwa John mosha. Sasa wewe unaleta mambo ya ubunge, mbona majimbo ya wahaya na wasukuma wagombea wote ni kabila zao?
uulikaa Tengeru sehem ganiDaah nimekumbuka mbali nimeishi Sana tengeru nawjua vzr wa meru binafsi nawapenda Sana wameru. kuna siku nitakuja kuwaletea story ya maisha yangu huko Arusha nilikokaa kwa miaka miwili kwa kweli nikikumbuka maisha Yale huwa nalia Sana wakuu na kukuta moyo wangu unadunda Sana na notawaelezo jinsi mama WA kimeru alivyonilea kama mwanaye hakika kuna siku notarudi tena tengeru ili nilipe fadhila za huyu mama
Tengeru nilikaa pale darajani mbele karibu na sadecc baadaye nikaenda kukaa maeneo ya kwa fundi baadaye nikarudi tena darajaniMku
uulikaa Tengeru sehem gani
sio wote mazee...wapo wenye nazo kama zoteHalafu pisi za kimeru hazina Antena
Kwa nini hutaki kuoa kabila lako Mzee?Mkuu nipe ushauri ni kabila lipi ambalo wanawake zao hawana uhuni ambao ninaweza kupata mke wa kuoa?
Mmakonde sioi hata kama mimi ni mmakonde piaKwa nini hutaki kuoa kabila lako Mzee?
😂😂🤣Wameru wanaosha Malapa na kusugua gaga kwa dk53 then anajimwagia maji waaaah halafu anatoka pekupeku na malapa yake mkononi anaenda kuyaanika juani.
Umesema kweli bro
Wanashida gani?Mmakonde sioi hata kama mimi ni mmakonde pia
ChawoteWanashida gani?