Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

Mwaka wa tisa kitu hakina umeme wala barabara ya kuunganisha na Ethiopia na South Sudan!

This project was expected to be ready in 2016!

More of white elephant projects (Isiolo Resort City) from Kibaki era

CC: komora096
Nani amekuambia Lapsset haijaunganishwa na stima? Ndio maana nimekuambia wewe ni mjinga.
 
Asante kwa kuongea ukweli ila utapigwa na Watanzania wenzako ambao hawataki kuambiwa ukweli.
 
Mpuuze hyo, yeye anafikiria miradi mikubwa ni mwendo wa kuzindua na kuanza kazi..
Miradi km hyo ni kawaida sana kuchelewa chelewa
Ninyi wote wapumbavu , sasa kama munalijua hilo kwanini kilacku munasema humu kawaida ya Watanzania kazi yao kuzindua tu mradi wenyewe kila cku kuzungumzia bomba la mafuta leo Kwa kua upande wenu mumebadilika au mradi wa bomba la mafuta ni mradi mdogo?
 
Tofauti ni kuwa mradi wenu wa bomba haujaanza kujengwa licha ya nyie kupiga domo miaka mitatu mfululizo. Lamu port inajengwa na imekamilika kwa zaidi ya asilimia sitini
 
Tofauti ni kuwa mradi wenu wa bomba haujaanza kujengwa licha ya nyie kupiga domo miaka mitatu mfululizo. Lamu port inajengwa na imekamilika kwa zaidi ya asilimia sitini
Kwani boma la mafuta jiwe la msingi c limewekwa mwaka jana tu hapo pia juo mradi wenu sio mkubwa kama munavyodai ni wakawaida tu
 
Tofauti ni kuwa mradi wenu wa bomba haujaanza kujengwa licha ya nyie kupiga domo miaka mitatu mfululizo. Lamu port inajengwa na imekamilika kwa zaidi ya asilimia sitini
Pia uelewe sababu ya kuchelewa mradi wa bomba la mafuta ni mvutano wa kimaslai Kati ya TZ na UG sasa mradi wenu unamvutano na nani mpaka umekua wa miaka 4 wakati mradi wa bandari ya Mtwara mwaka tu tena mkubwa kuliko huo.
 
The Simple reason is because Mombasa port serves Kenya and Dar port serves TZ.....The fact is Kenya has a bigger GDP than TZ!!
 
Kwani boma la mafuta jiwe la msingi c limewekwa mwaka jana tu hapo pia juo mradi wenu sio mkubwa kama munavyodai ni wakawaida tu
Ni mradi mkubwa sana. Lamu port ndio itaweza kukaribisha meli aina ya post-panamax hapa Africa Mashariki. Post-panamax ni kubwa kushinda panamax ambayo ulikuwa anatajataja jana
 
Pia uelewe sababu ya kuchelewa mradi wa bomba la mafuta ni mvutano wa kimaslai Kati ya TZ na UG sasa mradi wenu unamvutano na nani mpaka umekua wa miaka 4 wakati mradi wa bandari ya Mtwara mwaka tu tena mkubwa kuliko huo.
Wacha kuongea pumba. Eti Mtwara ni kubwa kushinda Lamu port? Una ushahidi?
 
Pia uelewe sababu ya kuchelewa mradi wa bomba la mafuta ni mvutano wa kimaslai Kati ya TZ na UG sasa mradi wenu unamvutano na nani mpaka umekua wa miaka 4 wakati mradi wa bandari ya Mtwara mwaka tu tena mkubwa kuliko huo.
Hawa wajinga wa kikunya huwa ikiwa kwao ni sawa huku wakitumia visingizio lukuki ila kwa Tanzania sio sawa [emoji23][emoji23][emoji23]

Hifadhi hizo comments ili siku wakitumia ujinga uzitumie kuwanyorosha kwa kutumia hizo screen shot.
 
Kwani ukubwa unalingana na pesa au inategemea mita mraba?
Mradi mkubwa unahitaji pesa nyingi za uwekezaji kwahiyo hata mchakato wa upatikanaji wa hizo pesa , makubaliano, umakini vyote vinakua Kwa hali ya juu tofauti na kimradi chenu cha $250 million eti miaka minne harafu munajitapa sababu mradi mkubwa kwahiyo huu mradi wa $ 3.5billion tena Kwa huko kwenu hata kama ungejengwa Kwa miaka 15 bado mungeona Sawa tu na kutetea sababu mradi mkubwa
 
Unagharimu us$ ngapi ?
Kumbuka Mtwara port ilikuwapo na current facility is having a capacity of over 600,000 tons of cargo kinachofanyika ni expansion n dredging! I won't be surprised if bigger than Lamu's three berths expected to handle 1 mln tons of cargo! Tatizo mna mdomo mkubwa!

A wapi? Bomba la mafuta mbona kitu amabacho ukishajipanga unazindua na unafanya tena mnapiga collabo
 
A wapi? Bomba la mafuta mbona kitu amabacho ukishajipanga unazindua na unafanya tena mnapiga collabo
Hata hiko kibandari unachimba chimba tu tena humuamishi mtu yeyote ndo miaka minne sema wakenya karibu ya wote hawana akili uhuru anawachezea akili anajenga kimradi kimoja miaka miingi ili apate pakuonyeshea
 
Tafadhali sana jaribu kujizuia kuwajibu kwa ghadhabu, wakenya wanakera sana, ila tujaribu kuwavumilia.
 
Hawa wajinga wa kikunya huwa ikiwa kwao ni sawa huku wakitumia visingizio lukuki ila kwa Tanzania sio sawa [emoji23][emoji23][emoji23]

Hifadhi hizo comments ili siku wakitumia ujinga uzitumie kuwanyorosha kwa kutumia hizo screen shot.
Wakenya ni watu wa ajabu Sana.
 
Tafadhali sana jaribu kujizuia kuwajibu kwa ghadhabu, wakenya wanakera sana, ila tujaribu kuwavumilia.
Unajua mkuu umeona jibu alilojibu , amejibu kipuuzi ndio maana na Mimi nimemjibu kipuuzi maana hataki kuangalia uhalisia we mradi wa B3.5 ufananishe na mradi million halafu eti wa million ndio uwe mkubwa hata ukichukua miaka 4 Sawa tu ila wa B 3.5 ni kitu cha kusaini tu na kuanza ujenzi hivi ana akili timamu huyu
 
Nonesense. Lamu port berth moja ni 400 metres kwa hivyo berth zote tatu ni 1,200 metres. Tafuta ligi nyingine lakini hiyo uchwara port haiwezi kukaribia Lamu port kwa capacity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…