Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.

Ni vyema akasikiliza moyo wake, kile anachopenda sana basi akiendee.

Je mbali na kuangalia urahisi wa ajira yeye anapenda ipi kati ya hizo?

Achague anachopenda, akasome halafu ajira na mengine baadae.

Kila la kheri.
 
Dds kwa sokoni inafanya vzr… graduates ni wachache,,,,, mimi ni Md najua ilivyokuwa wakati natafuta ajira gavoooo,,,, wenzangu Dds walikuwa kama sita tu hivi,,,, ila sisi kama 400,,,,,
hata private ni rahisi kupata kwa Dds,,,,, ugumu ni kwenye kujiendeleza kwa Dds kuna machaguo machache hasa kwa vyuo vya ndani.
 
Asante mkuu
 
Vip kuhusu ugumu wa masomo kati ya MD na DDS ama zinafanana tu.
 
Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
DDS ni rahisi kujiajiri. Ila kozi za afya kwa nchi maskini ni kupoteza resources na kuwa mtumwa wa wanasiasa. Kama una akili epuka.
 
Back
Top Bottom