Unatakiwa kusoma kitu kwa kuwa unakipenda. Suala la kusema sijui kozi ipo sokoni halina mashiko kwa sababu sera na vipaumbele vya kisiasa katika kuajiri huwa vinabadilika.
Kwa kozi hizo mbili ningemshauri achukue MD, kwasababu ni general atajitunza kila kitu kwenye afya. DDS ata focus tu kinywa na uso zaidi. Ukija kwenye ajira kwa Sasa DDS wanahitajika kuliko MD. Sokoni MD wapo wengi kwaiyo unaweza chelewa kupata deals Ila siku ukipata it's rewarding.