Kasome content creation na uchawaMdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
Zinafanana,,, 1st na 2nd year tunasoma pamoja course almost zote… kuanzia 3rd year ndio mnatengana moja kwa moja had mnamalizaVip kuhusu ugumu wa masomo kati ya MD na DDS ama zinafanana tu.
Aende DDS muhas,