Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Jinsi ya kuagiza.Nataka kuagiza gari kupitia befoward au SBT au Trust sasa naogopa kuibiwa kwenye mitando, na niko mikoani ambako siwezi kufika dar kirahisi nitaagiza vp na nitajuaje kama pesa zangu zi salama sijaibiwa? Swali la pili, gharama ninazoziona kwenye tra calcultor +cif ndo basi nalipata gari langu au kuna nyongeza ya makato? msaada plz urgently!
Nilitumia Beforward, my friend alitumia SBT. Wote wazuri.kampun gan nzur kuagiza
thanks sana but nashindwa kuelewa maana mfano gali ni cif usd 2000 nilielekeza ina kuwa ni 1.8 ni tra yaan inakuwa hiv kwa kuichange kwa tsh 2000*2000*1.8 = hapo 2000 hiyo ni usd 2000 *2000 kuchange dolar to tsh* 1.8 kama tra calculaterNilitumia Beforward, my friend alitumia SBT. Wote wazuri.
Sijakuelewa hapa.thanks sana but nashindwa kuelewa maana mfano gali ni cif usd 2000 nilielekeza ina kuwa ni 1.8 ni tra yaan inakuwa hiv kwa kuichange kwa tsh 2000*2000*1.8 = hapo 2000 hiyo ni usd 2000 *2000 kuchange dolar to tsh* 1.8 kama tra calculater
Ila wamenisikitisha baada ya kuja kugundua walichezea odometer. Baada ya muda ikaanza kuchanganyikiwa. Sasa inanionesha natembea hadi km 6000 ndani ya wiki 2. Kazini na kurudi ni 22km.Nakushauri utumie BEFORWARD mkuu. Wapo makini sana. Nina experience nao ya kuagiza gari mara mbili. Bei waliyoweka pale siyo fixed, wee komaa nao wakupe discount. Wakikupa bei ya mwisho, wewe watajie yako sasa ambayo itakuwa chini kidogo ya waliyokupa. Walinipaga discount toka 5100$ mpaka 4900 nikawaambie sina 4900, nina 4800 wakakataa. Baadae kidogo wakanitumia email waka kubali. Ilichukua siku 32 kupata gari.
Pole mkuu. Watu wengi hudanganyika kwakuangalia ODO inayosoma km chache na kudhani hiyo gari haijatumika sana. Ukikuta gari ya miaka ya nyuma sana na odometer inasoma km chache sana achana nayo. Maana yawezekana wamei reverse au ilipataga ajali wakairekebisha na kuipaki bila kuitumia kwa miaka minhi au mara chache chache sana. Pia ukikuta gari ya nyuma sana ila ODO inasoma km nyingi ipotezeeIla wamenisikitisha baada ya kuja kugundua walichezea odometer. Baada ya muda ikaanza kuchanganyikiwa. Sasa inanionesha natembea hadi km 6000 ndani ya wiki 2. Kazini na kurudi ni 22km.
Ilikuwa na 96 elfu km. Baada ya document kufika nikaona ilikuwa na owners wawili kabla. Na wote waliitumia kwa umbali wa km 90 hadi laki kila mmoja, lakini huku wanakupa distance ya owner mmoja ambayo nayo unakuta imechezewa. SBT huwa wanaandika kbs hata km ni laki 2.5.Pole mkuu. Watu wengi hudanganyika kwakuangalia ODO inayosoma km chache na kudhani hiyo gari haijatumika sana. Ukikuta gari ya miaka ya nyuma sana na odometer inasoma km chache sana achana nayo. Maana yawezekana wamei reverse au ilipataga ajali wakairekebisha na kuipaki bila kuitumia kwa miaka minhi au mara chache chache sana. Pia ukikuta gari ya nyuma sana ila ODO inasoma km nyingi ipotezee
Honda ipi? my next one itakuwa Honda Fit.Asante sana kwa mchango wenu umenipa darasa tosha sasa on my way to bring my honda
Nashukuru mkuuKwenye hiyo calculator angalia mahali palipoandikwa 'custom value CIF (USD). Hakikisha CIF ya gari unalotaka haizidi hiyo CIF inayoonekana hapo, utalipia ushuru huo unaooneshwa baada ya calculation. Endapo CIF ya gari unalotaka itakuwa kubwa zaidi ya hiyo ya TRA, basi utalipa zaidi, na ni wao TRA ndio wanajua itazidi kiasi gani baada ya kupiga hesabu upya kutumia CIF yako kubwa.