Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu amashawahi kuagiza na kampuni ya REAL MOTOR JAPAN? Vipi kuaminika kwao?
Real motor wanaaminika mkuu..imefika tayari..zote real motor na real motor jr.
wadau nahitaji Mark X ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea, je naweza pata kwa shs ngapi?
Habari zenu wataalamu? Aisee natarajia kununua Gari aina ya Toyota Caldina ya mwaka 2003 na bei yake kwa mujibu wa Autorec Japan (CIF) ni USD 5,570.
Naomba msaada jinsi ya kukalculate kodi kwa gari hiyo ili nione kama naweza kuagiza ama la kulingana na mfuko wangu. Na pia kama ushauri utakuwepo kuhusu gari hiyo.
Libaba OPAL siyo mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni aghali.
Subiri watu wengine wachangie pia. yangu ni hayo tu
Tafuta Tshs ziwepo tayari tayari 9,004,875:A S 13: