Ushauri wa bure: Ally Kiba nenda ukasainishwe WCB ili mziki wako upae

Acheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....
Pole tena hauna pole kaka hauna(in manfongo's voice)
 
Thanks

Hahaha, mwezi huu haujakuwa .mzuri kwake kabsa, na kweli wame mkimbia naona wako kimyaa sana hata humu.
Utawaona watakuja wakijikakamua tu kuleta ubishi watazitoa kasoro tuzo mpak tuone wcb hawakustahil na sis tunasema hatushindwiiiiiiiiiiii
 
Hawawez kwa sasa nawajua [emoji1]
Watasubir zile tuzo zake nyingne ndo waje hapa
Tuzo za kill nazo mpaka team wema na team jokate sasa hivi wema hana team si alizitukana utaona kama atapata uwiiiiiii huu mwaka wa kiba aisee
 
Tuzo za kill nazo mpaka team wema na team jokate sasa hivi wema hana team si alizitukana utaona kama atapata uwiiiiiii huu mwaka wa kiba aisee
Kuna jamaa jana nilimwambia kuwa, sku hizi Wema ndio kwanza yuko neutral , kipind kile alisaidia sanaaaa. mbona ni hatari hiyo yaan nasubiri nione kutatokea nn!! Sasa
 
Acheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....
Pole sana
Be patient
We keep pressng! ...
....loool we nt stopng soon
 
Kwa hiyo WCB wanamhujumu Kiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…