tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Hance hebu nielekeze jins ya kutuma emoj mi.nikituma zinakuja empty[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oya wadau mnaniumiza mbavu huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hance hebu nielekeze jins ya kutuma emoj mi.nikituma zinakuja empty[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oya wadau mnaniumiza mbavu huku
Hahahahhahabhaa ni kweli afu unajikakamua mbele za watu unaongea utumbo wa nguruweNi sawa na kufanya kazi hulipwi mshahara Halafu unasema Mi ni mkubwa kuliko mshahara...
Pole tena hauna pole kaka hauna(in manfongo's voice)Acheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....
Utawaona watakuja wakijikakamua tu kuleta ubishi watazitoa kasoro tuzo mpak tuone wcb hawakustahil na sis tunasema hatushindwiiiiiiiiiiiiThanks
Hahaha, mwezi huu haujakuwa .mzuri kwake kabsa, na kweli wame mkimbia naona wako kimyaa sana hata humu.
Hawawez kwa sasa nawajua [emoji1]Utawaona watakuja wakijikakamua tu kuleta ubishi watazitoa kasoro tuzo mpak tuone wcb hawakustahil na sis tunasema hatushindwiiiiiiiiiiii
Kesha UKIOMBA...Acheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....
Tuzo za kill nazo mpaka team wema na team jokate sasa hivi wema hana team si alizitukana utaona kama atapata uwiiiiiii huu mwaka wa kiba aiseeHawawez kwa sasa nawajua [emoji1]
Watasubir zile tuzo zake nyingne ndo waje hapa
Kuna jamaa jana nilimwambia kuwa, sku hizi Wema ndio kwanza yuko neutral , kipind kile alisaidia sanaaaa. mbona ni hatari hiyo yaan nasubiri nione kutatokea nn!! SasaTuzo za kill nazo mpaka team wema na team jokate sasa hivi wema hana team si alizitukana utaona kama atapata uwiiiiiii huu mwaka wa kiba aisee
Hapo ndio anakosea kabisaYeye ni mkubwa zaidi ya tuzo
Papirrrr yoooooooyooooooooooo![]()
Pole sanaAcheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....
Kwa hiyo WCB wanamhujumu Kiba?Napenda kumpa ushauri mdogo wangu Ally Salehe Kiba aende akaombe kusainishwa WCB kiroho safi ili akuze mziki wake bila ya hivyo natabiri baada ya miaka miwili ijayo hatoweza tena kumkaribia Diamond level zake bali atakuwa level za Rayvanny na Harmonize
Hawa madogo tangu waingie WCB mafanikio wameyapata mapema sana kulinganishwa na wenzao waliotoka pamoja kama vile Neddy Music na madogo wengine
Hata Rich Mavoko tulikuwa tushamsahau ila tangu aingie WCB show zimekuwa za kucheba na thamani yake imepanda maradufu
Si Mavoko tu hata Khadija Kopa alivyoshirikishwa kwenye wimbo wa Nasema nawe jina lake lilitajwa kwenye tuzo za Afrimma ingawaje hakuweza kuibuka kidedea
Ommy Dimpoz ,Yamoto band ,V money walllivyokuwa karibu na Dai majina yao yaling'aa sana ila tazama sasa ukaribu umepungua wapo wapi?
Huu ni ushauri tu najua utamfikia tu taka asitake akipuuzia shauri zake kwa maana ataenda na maji
Mimi ya kwangu ndio hayo kwa siku ya leo akiweza apokee ushauri wangu akijifanya mjuaji na kichwa ngumu shauri zake ila baadaye asije akasema hakushauriwa.
Ukiona n star unajua kuimba afu hamna ata katuzo cha kumbukumbuKupata tuzo na kujua kuimba ni vitu tofauti.
Hizo tuzo nimitego hiyo.U
Ukiona n star unajua kuimba afu hamna ata katuzo cha kumbukumbu
Loool nigger knw dats ur sucked poppet
Toka misingi ya ulimwengu iwekwe...Hizo tuzo nimitego hiyo.
Basi tutategeka kinoma ..Hizo tuzo nimitego hiyo.
Na ndiyo lengo laoBasi tutategeka kinoma ..
Atalia kwa kugalagala chiniKuna jamaa jana nilimwambia kuwa, sku hizi Wema ndio kwanza yuko neutral , kipind kile alisaidia sanaaaa. mbona ni hatari hiyo yaan nasubiri nione kutatokea nn!! Sasa