Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #81
Ni kawaida sana,nabii huwa hakubaliki nyumbani,kama hata Masihi walimkataa wakamsulubisha,ndio nitakuwa mimi?!Mtu hawezi amini kama wewe ni mwanasheria/ umesoma Sheria!!!
Tuna matatizo sana na katiba yetu,sheria zetu, majaji wetu na wanasheria wetu katika suala zima la utoaji haki,mimi nimejitolea kusaidia upande wa elimu kwa ummaHii kesi nimuhimu kupatiwa judgement hata miaka 20 ijayo wenye akili wanaelewa.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04
Sabasaba niliaga siku nyingiWe endelea kutangaza maonyesho ya sabasaba huko ndipo unapopawezea...
Kwa hili la uzito wa kuelewa, nakubaliana na wewe, mimi ni mzito, Tomaso atasubiri.Na sijui kwanini paskali wengi huwa wazito kuelewa
P