Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

Mtu hawezi amini kama wewe ni mwanasheria/ umesoma Sheria!!!
Ni kawaida sana,nabii huwa hakubaliki nyumbani,kama hata Masihi walimkataa wakamsulubisha,ndio nitakuwa mimi?!
Hii kesi nimuhimu kupatiwa judgement hata miaka 20 ijayo wenye akili wanaelewa.
Tuna matatizo sana na katiba yetu,sheria zetu, majaji wetu na wanasheria wetu katika suala zima la utoaji haki,mimi nimejitolea kusaidia upande wa elimu kwa umma
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04
We endelea kutangaza maonyesho ya sabasaba huko ndipo unapopawezea...
Sabasaba niliaga siku nyingi
Na sijui kwanini paskali wengi huwa wazito kuelewa
Kwa hili la uzito wa kuelewa, nakubaliana na wewe, mimi ni mzito, Tomaso atasubiri.
P
 
Wanabodi

Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Hivyo nashauri Chadema iachane na hili jambo, kwa muda huu uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa bunge, hakuna tena uchaguzi mdogo wowote, hivyo jambo hili halina maslahi yoyote kwa Chadema, kama nilivyoshauri toka mwanzo, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Baada ya Chadema kuutambua uchaguzi wa 2020 na kumtambua mbunge wake mmoja Mhe. Aida Khenan, Chadema ilikuwa inapigania hao wabunge 19, watenguliwe, ili iteau wabunge 19 wengine, lakini sasa kwa muda uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa Bunge, hakuna uchaguzi mdogo wowote mpaka uchaguzi ujao!, hivyo hata kama watashindwa mahakamani na kuvuliwa ubunge, hakutakuwa na maslahi yoyote kwa Chadema!.

Hivyo ni bora Chadema iwasamehe, ujikusanyie maokoto yao kwa ule utaratibu wao, Bunge likishavunjwa, ndipo imalizane nao ndani kwa ndani. Kitendo cha kuwasamehe, watu kama Halima Mdee, Esta Matiko na Esta Bulaya ni watu wenye uwezo mkubwa kurejea Bungeni.

Huu ni ushauri tu

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu issue hii ya wabunge 19 wa Chadema
  1. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  2. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
  3. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  4. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua
  5. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
  6. Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
  7. J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
  8. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
  9. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  10. The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
  11. Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa
  12. Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
  13. mkeka unaendelea...
Mkuu nakueshim sana ,ya chadema wachie wenyewe,fuata mambo yako
 
Upo sahihi kwa upande fulani
Hili la wabunge haramu tumewaachia wenyewe wenye chama maana ndio wanufaika.
Hilo tuliache tuzungumze lililo kubwa ambalo ni KATIBA MPYA hii italeta majibu yote kwenye maswali wenye nchi wanahitaji kujua.
Siku Hiyo tutawajua mnaodhani mnawajua kumbe hamuwajui ndani ya chama tawala na upinzani.
 
kuna kitu wengi hawafahamu wanadhani Chadema ni a private party ya viongozi na wanachama tuu, its not, Chadema is a public party paid by taxpayers money, hivyo the taxpayers have all the rights kuhusu Chademas affairs Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
P
Wachache wao wamekigeuza ni chao basi tuwape elimu ya kutosha wasifanye kama ni chama cha biashara.
Ndio maana wawe barab….sorry sijui nilitaka kusema nini!
Salama Mkuu?!
 
Wanabodi

Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Hivyo nashauri Chadema iachane na hili jambo, kwa muda huu uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa bunge, hakuna tena uchaguzi mdogo wowote, hivyo jambo hili halina maslahi yoyote kwa Chadema, kama nilivyoshauri toka mwanzo, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Baada ya Chadema kuutambua uchaguzi wa 2020 na kumtambua mbunge wake mmoja Mhe. Aida Khenan, Chadema ilikuwa inapigania hao wabunge 19, watenguliwe, ili iteau wabunge 19 wengine, lakini sasa kwa muda uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa Bunge, hakuna uchaguzi mdogo wowote mpaka uchaguzi ujao!, hivyo hata kama watashindwa mahakamani na kuvuliwa ubunge, hakutakuwa na maslahi yoyote kwa Chadema!.

Hivyo ni bora Chadema iwasamehe, ujikusanyie maokoto yao kwa ule utaratibu wao, Bunge likishavunjwa, ndipo imalizane nao ndani kwa ndani. Kitendo cha kuwasamehe, watu kama Halima Mdee, Esta Matiko na Esta Bulaya ni watu wenye uwezo mkubwa kurejea Bungeni.

Huu ni ushauri tu

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kuhusu issue hii ya wabunge 19 wa Chadema
  1. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  2. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
  3. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  4. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua
  5. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
  6. Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
  7. J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
  8. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
  9. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
  10. The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
  11. Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa
  12. Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
  13. mkeka unaendelea...
kwani wakijiunga na ccm hawatapokelewa na kupewa tena vitu maalum
 
CCM ina majembe mengi ya kutosha, hivyo they are more valuable upinzani kuliko CCM。
P
uvccm asilimia kubwa ni reject and corrupt minded , they are not trusted even by their political party ndo maana wapinzani wengi wenye akili timamu wakihamia ccm wana ula uongozi chap hali uvccm wakibunghaa tu mimacho kwenye korido ya ccm
 
kuna kitu wengi hawafahamu wanadhani Chadema ni a private party ya viongozi na wanachama tuu, its not, Chadema is a public party paid by taxpayers money, hivyo the taxpayers have all the rights kuhusu Chademas affairs Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
P
Mkuu nakubali nini umeandika ,achana chadema ,chadema ni taasis ipo na viongozi , na idara zote na si wajinga ,achana na chadema upo na majukum mengi ya kufanya ,why angaika nao wakitaka ushauri kutoka kwako watakufuata
 
Kuna watu wako upinzani ila ni mwili tuu ndio uko upinzani ila mioyo na roho zao ziko CCM, na kuna watu wako CCM, lakini mioyo na roho zao ziko upinzani!,watu kama hawa wanapenda kuiona Tanzania inapata a strong and credible opposition kuisisimua CCM, bila upinzani imara,CCM inabweteka, Bunge linadorora,ndio maana baada ya Watanzania kuwakataa wapinzani ile 2020, sisi CCM contemporary tuliwaombea wapinzani uteuzi Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni? humo nilisema
Wanabodi,
Japo ni lengo la kila mwana CCM, kuona chama chake kinashinda viti vyote na kata zote, ila pia kuna baadhi ya wana CCM, tunaojiita "CCM Contemporary" ambao ni makada wazalendo zaidi kwa nchi kuliko kwa chama, wamefurahishwa na ushindi wa kishindo wa CCM, ila pia ni wazalendo zaidi kwa nchi kuliko chama, tungependa kuona wapinzani makini wachache wakiingia Bungeni ili kuleta a balance of power na kujenga ile dhana ya Bunge la vyama vingi. Hivyo kushindwa kwa mtu kama Zitto ni masikitiko kwa wana CCM wazalendo wengi wa type yangu!. Tunapenda Bunge la CCM, lakini pia lenye mwamko na msisimko wa challenges za upinzani.

Kwa ushauri wangu, napendekeza rais Magufuli awateue hawa wafuatao
1. Freeman Mbowe- M/Kiti chama kikuu cha upinzani
2. Tundu Lissu- aligombea nae
3. Zitto Kabwe - Most Interactive MP
4. James Mbatia- Very Compromising
5. Prof Haruna Lipumba - Good Puppeteer
6. JJ.MNYIKA- Mjengaji hoja mzuri
Nafasi tano zilizobaki ni za wanawake, tunamuomba Magufuli amuangazie yule Queen Sendiga miongoni mwa wanawake hao.

Hili likifanyika, litatibu makovu ya uchaguzi Mkuu huu, na kuingiza vichwa vya upinzani ambavyo vitalichangamsha Bunge letu na kuliongezea msisimko.

Hili lusipofanyika, Bunge la chama kimoja, bila any challenges, japo litaharakisha maendeleo bila upinzani, litakosa msisimko na lita bore!.
hivyo tunapoishauri Chadema tunaishauri ushauri bonafide genuine,mfano Chadema wangeufuata ushauri huu mapema, ile 2015 walikuwa wanaingia ikulu Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni! kisha tukawashauri Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
amini nakuambia saa hizi Chadema wangekuwa Ikulu siku nyingi but very unfortunately they are not serious at all!Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

P
 
Bizarre effort to secure CHADEMA’s endorsement for yet another CCM cruel folly. Ni ajabu sana.

Unampora kibabe Halima Mdee ushindi wa dhahiri jimboni halafu unamlaghai kwa vitisho aingie Bungeni kwa mpango wako haramu. Kisha unawalazimisha CHADEMA wamtambue kama mbunge wao wa viti maalum. Lakini akimwaga point bungeni makada wako wanamdharau na kumkumbusha asisahau yuko pale kwa hisani ya nani!

Alikotoka ameacha wafuasi kadhaa wamejeruhiwa, kutiwa vilema na kuwekwa mahabusu indefinitely wakitetea haki yake ya ushindi wa kura jimboni. It was and still is really a traumatic experience for the lady and CHADEMA. Same effect regarding her colleagues.

Mkuu mleta mada si mara moja umewahi kuandika kauli kali kuwahukumu CHADEMA kwa suala hili kiasi cha kuwatangazia karma!

Ushauri wangu ni kuwa, have conscience, achana na hii kitu. Kuhangaika kuhalalisha ukatili wa watu waovu ni kazi chafu sana.

Wastaarabu angalau hukaa kimya kwenye masuala controversial na yenye conflict of interest. Kama una data za uhakika kuwa viongozi wa CHADEMA ndio wahusika wakuu basi weka wazi suala lifike mwisho!
 
Huwa siamini katika merry-go round ya kusoma mabandiko. CHADEMA ni chama cha umma. Tumekuwa tunaikosoa na kuipinga wazi wazi CCM kwa makosa na maovu mengi yanayotendeka chini ya uongozi wake wa nchi.

Haitakuwa na maana kwa makosa ya CHADEMA kuongelewa kwa kificho kificho kama vile kuna kitu au watu wanatakiwa kulindwa. CHADEMA wameweka wazi kwa matamko, maandishi, na nyaraka walichofanya kuhusu suala hili. Wamewasilisha ushahidi wote mahakamani na haujapingwa.

Badała yake unaleta speculations za conspiracies ambazo hatuwezi kuthibitisha. Tena wakati mwingine kwa jazba sana. Sijui sisi public tuseme nini? Au tufanye nini? Tuamini tu? Kama pia wanavyotaka wanaozungusha tuhuma za Mbowe kutengeneza ajali iliyomuua Chacha Wangwe? Au kumpiga TL mvua ya risasi?

Sasa tuseme CHADEMA wakiwasamehe hao C-19 basi yote yatakuwa heri? Sisi public tuone yote sawa tu? We may not be smart but we have a good measure of intellect.
 
Huwa siamini katika merry-go round ya kusoma mabandiko. CHADEMA ni chama cha umma. Tumekuwa tunaikosoa na kuipinga wazi wazi CCM kwa makosa na maovu mengi yanayotendeka chini ya uongozi wake wa nchi.
Naunga mkono hoja
Haitakuwa na maana kwa makosa ya CHADEMA kuongelewa kwa kificho kificho kama vile kuna kitu au watu wanatakiwa kulindwa. CHADEMA wameweka wazi kwa matamko, maandishi, na nyaraka walichofanya kuhusu suala hili. Wamewasilisha ushahidi wote mahakamani na haujapingwa.
Ni kweli, mahakamani Chadema wameshinda, kwanza, sio kila walichofanya Chadema kwenye hii issue ni haki, ila pia sio kila uamuzi wa mahakama ni uamuzi wa haki!.
Badała yake unaleta speculations za conspiracies ambazo hatuwezi kuthibitisha. Tena wakati mwingine kwa jazba sana. Sijui sisi public tuseme nini? Au tufanye nini? Tuamini tu?
Mimi nilileta tuu sauti nilizosikia, most of the times zinakuwa ni sauti za kweli.
Kama pia wanavyotaka wanaozungusha tuhuma za Mbowe kutengeneza ajali iliyomuua Chacha Wangwe? Au kumpiga TL mvua ya risasi?
Duh...!
Sasa tuseme CHADEMA wakiwasamehe hao C-19 basi yote yatakuwa heri? Sisi public tuone yote sawa tu? We may not be smart but we have a good measure of intellect.
Thanks.
P
 
Mkuu Allen Kilewella , uteuzi wa ubunge usio na ukomo ni kwa zile nsfasi za wabunge wa kuteuliwa na rais, lakini sio kwa nafasi za viti maalum!. Wakitenguliwa leo, there is no room for Chadema kuteua wengine!
P
Allen Kilewella anauliza ni kwa sheria gani?

Pili, mkuu P tangu mwanzo wa sakata la CDM umewatetea sana COVID-19 na sasa unatupa mzigo kwa CDM
Kwa ilipofikia CDM hawana la kufanya, COVID wanalindwa na Serikali.
Sheria inawataka waondoke lakini Spika Tulia na Rais SSH wanawakingia kifua.

Sheria ipo wazi huwezi kuwa Mbunge kama si mwanachama wa chama cha siasa. COVID si wa kwanza, wale wa CUF waliondolewa haraka sana na hata CCM ilipotaka kuondoa Wabunge wao sheria hiyo ilitumika.

Huna sababu ya kuwakingia kifua, wanakingiwa na mamlaka na CDM hawana la kufanya, usiwasingizie.
Hivi umesahau ''conspiracy theory zako''
Kwamba kuna Kigogo alisaini Fomu zikaenda Bungeni!
Kwamba Fomu walipewa na Katibu mkuu na aliyerudisha ni katibu mkuu
Kwamba walifukuzwa bila kusikilizwa kwa kangaroo court
Kwamba walikuwa wauawe kama wangeenda kusikilizwa
 
Lissu atagomea hili, kijinga kabisa,nashauri Lissu aondoke chadema awaachie chama wenye akili za ki strategies, akili ya kusonga kwa kubisha with no mission is a foolishness!
Chadema hawajaamua kuwasamehe, ili tuone Lisu akigomea hili. Ila wewe unatoa ushauri achukuliwe hatua kwa kugoma ambacho hajafanya. Hii ni akili?
 
Allen Kilewella anauliza ni kwa sheria gani?
Bandiko limeanza na kifungu cha sheria
Pili, mkuu P tangu mwanzo wa sakata la CDM umewatetea sana COVID-19
ni kweli, mimi ni muumini wa haki bin haki, siku napenda watu watendewe haki,na japo Chadema ilipoundwa ilikuwa na katiba nzuri ya haki bin haki kabla haki hizo hazijanyofolewa kinyemela, ukiondoa ubatili huu, lakini utaratibu wa nidhamu ni utaratibu mzuri na wa haki ila imetokea Chadema wako very notorious with kangaroo courts,hawajawahi kufuata utaratibu wa katiba yao hata mara moja kwenye timua timua zote, na mimi siku zote nimewatetea watimuliwa
  1. madiwani wa Arusha Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
  2. Kafulila David Kafulila ahamia NCCR Mageuzi akitokea CHADEMA
  3. Juliana Shonza,Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Zito Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
  5. Hawa 19
na sasa unatupa mzigo kwa CDM
Sijatupa mzigo ni nimetoa ushauri tuu
Kwa ilipofikia CDM hawana la kufanya, COVID wanalindwa na Serikali.
Sheria inawataka waondoke lakini Spika Tulia na Rais SSH wanawakingia kifua.
Usimwingize rais,sio sehemu ya Bunge kwenye hili
Sheria ipo wazi huwezi kuwa Mbunge kama si mwanachama wa chama cha siasa.
Ni kweli ila ni sheria batili
Hivi umesahau ''conspiracy theory zako''
Kwamba kuna Kigogo alisaini Fomu zikaenda Bungeni!
sijasema popote kigogo alisaini fomu na wala haziendi Bungeni,fomu zinakwenda NEC,nilichosema ni hiki Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Kwamba Fomu walipewa na Katibu mkuu na aliyerudisha ni katibu mkuu
ukinionyesha nitakushukuru
Kwamba walifukuzwa bila kusikilizwa kwa kangaroo court
ni kweli
Kwamba walikuwa wauawe kama wangeenda kusikilizwa
Duuh。。。!,this is not you that I know and I highly respect!, ni vile hujui tuu you were NO. 3 kwenye my list of the most respected members, next to Mzee Mwanakijiji na Mchambuzi
but 。。。
P
 
Bandiko limeanza na kifungu cha sheria
Kwanza Pasco ama unajifanya hamnazo au unatuchezea Shere wenzio.

Hicho kifungu cha Sheria ulichokinukuu kinahusiana na "uchaguzi mdogo" na wala hakihusiani na "uteuzi wa wabunge wa Viti maalum".

Kama ungekuwa upo mahakamani ungeshindwa kutetea hoja yako isipokuwa kama Jaji atakuwa amepewa maelekezo yale aliyosema Rostam Aziz, ndiyo angeamua kusimama na wewe.

Kinachonisikitisha wewe ni mwandishi wa habari, tena mwandishi wa habari nguli.Lakini pia ni mwanasheria.

Kwenye uandishi wa habari kuna ile kanuni ya "five wives with single husband" yaani "what" "which" "when" " where" "who" and "how".

Kwa kutumia tu hii kanuni ya uandishi wa habari wala usingeandika ulichoandika kwani majibu ungeyapata.

Lakini kwenye uanasheria kuna ile kanuni kongwe kabisa ya "due diligence" ambayo pia ungeitumia kujiridhisha kama Kuna Sheria inayozuia uteuzi wa wabunge miezi 12 kabla ya uchaguzi Mkuu ama lah!

Kwa unguli wako kuna watu wanakukubali na kuyakubali maandiko yako na kuyaamini bila ya kuhoji.

Kwa mtazamo wangu unapoandika kitu cha upotoshaji, jua kwamba unawapotosha watu wengi sana wanaokuamini.

Kwenye hili la wabunge wa kuteuliwa umepindisha ukweli na sijui umefanya hivyo (kwa makusudi?) kwa faida ya nani.
 
Back
Top Bottom