Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Km kweli diamond anaamini mafanikio yake ni juhudi zake binafsi hizi fuvu mbili hapa mezani kwake zitolewe zichomwe moto adharani...tuanzie hapa kwanza kumsaidia
 
mmmmñ5hapa watanzania wote tumejumuika kumsaidia uyu kijana..mambo ya u7timu tumeweka pembeni ..unachanganya madawa mkuuvvvvvñĺ
Nenda kawasaidie ndugu zako kwanza achana na mondi ambaye hakujui na wewe umjui zaidi ya kumuona kwenye Tv, social media.Hao watanzania uliosema tumeungana kumshauri mondi wako wapi? Ikiwa Uzi wako hakuna hata mmoja aliyeunga hoja yako uoni aibu kijana.
 
Yaani uwezo wako wa kufikiri kama umeishia hapo basi amka nenda katafute kibarua upate pesa. "Kwani hao wasanii walilipwa kuja kuburudisha chumbani kwa diamond na demu wake?" Wenzio wamepiga hesabu za kuingiza pesa na wamepiga pesa . Hivi ukiwa free mason unakaa tu nyumbani pesa zinakuja zenyewe? Mbona jamaa anakata viuno jukwaani ili apate pesa sasa ww wivu wa nini. Tusipoangalia hizi mada zikiendelea kuachwa zitaongeza idadi ya mashoga nchini, maana wanaume hawatafuti pesa wanajadili wanaume wenzao wabunifu wa kupata pesa mwisho waje kuliwa makalio.
 
Kua mtu mzima kiakili ni kazi mno.. lakini kua chizi haiwezi chukua hata sekunde
 
Kwani like fuvu la kichwa linalosemekana lipo ofisini kwake kina kazi gani
*!*!?!(!*!?!?!¥!?!?(!(!(!?!*!*♡¥!*!(!¥+991(+*!*!€&+£+9!([`}`♡`♡°}°》°¡¡`♡`}`♤`¡`♡`♡°}}°♡`♤`¿°¿》¡¡¡`♡°[♢`¡`♡°[`¿¿.`♢`[`]♧°♧°♢°}°♤¡`♡♡♡°♡`♡`♡°♢°♢°[°[°♢`♢`♢°♢
 
"yani kwa akili tu za kawaida inawezekana vipi ukaleta wasanii wakubwa km wizkid na tiwa savage toka nigeria mpka bongo
na kuwalipa "huge sums of money"..na hapohapo kuwapa malazi katika "five stars hotels" lkn babako mzazi aliekuleta katika dunia hii bado anaishi tandale kwa mtogole na anatembelea bodaboda?!


Hamna umasikini mbaya kama umasikini wa fikra,sasa wale wadhamini wa Pepsi,GSM,Tacaids,Kilimanjara na wengineo wengi we ulizani kazi yao ni ipi? au wale walikuwa wanadhamini nini ?Kijana katengeneza brand yake kupitia brand yake WASAFI, makampuni wanamuamini na ndio maana wamemdhamini,Wizkid kaletwa na wadhamini walio idhamini WASAFI FESTIVAL simple.

Haya mambo ya freemason ukiyaendekeza sometimes unaweza ukaonekana mwehu,ila kama hujui HATA ULE MKAO WA KUKATA GOGO HUKU UMECHUCHUMAA ni MKAO WA FREEMASON WAKIWA WANATOA SADAKA.Sasa sijajua wewe ukienda chooni utasimama wima,ila kwa jinsi akili yako inavyo onekana ,wewe UTASIMAMA WIMA ILI UKATE GOGO,sababu unashindwa kufikiria nje ya box.

Hakuna UMASIKINI MBAYA kama umasikini wa FIKRA.
 
hizi ni imani za waafrica tu, kuishi maisha duni na ya dhiki haukuwa mpango wa Mungu..wewe unaeishi maisha magumu na ya kuunga unga ndio unapaswa ujitafakari maana wakati wowote tunaweza kukupoteza kwa dhiki ulizo nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…