mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
rudia tena kusoma nilichoandika then urudiDini hiyo hiyo imetoa wajibu WA mzazi Kwa mtoto na wajibu WA mtoto Kwa mzazi , sidhani wajibu WA mzazi Kwa mtoto ni kumzaa Tu basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudia tena kusoma nilichoandika then urudiDini hiyo hiyo imetoa wajibu WA mzazi Kwa mtoto na wajibu WA mtoto Kwa mzazi , sidhani wajibu WA mzazi Kwa mtoto ni kumzaa Tu basi
Laana itamtafuna sana maana hajielewi na imani ya kishirikina ni mbaya sana
Unakuwa mbali na Mungu na wasiwasi hauishi
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sababu kama ipi za kutokumsaidia mzazi wake
Hayo anayofanya Diamond ni kujitia mikosi tu kwenye maisha yake...KUCHUKUA MAAMUZI YA KUMCHUKIA MZAZI MMOJAWAPO NDIYO KUINGILIA KWENYEWE HUKO KWA UGOMVI WA WAZAZI WAKE.
LAITI ANGEKUWA NI MWENYE HEKIMA, ASINGETHUBUTU KUMCHUKIA BABA YAKE MZAZI KAMWE SABABU KUPITIA HUYO BABA YAKE MZAZI NDIYOMAANA KAZALIWA DUNIANI.
KWANI MAMA YAKE DIAMOND ALIJITUNGIA UJAUZITO PEKE YAKE BILA KUJAMIIANA?
MZAZI NI MZAZI TU HAIJALISHI ALIKUTELEKEZA, ALIKUWA MCHAWI, JAMBAZI AU TABIA MBAYA YA AINA GANI MAANA MUNGU NDIYE MLIPIZA KISASI PEKEE.
NA KWA TAARIFA YAKO FIMBO/ADHABU/MALIPO YA MUNGU HUWA NI MACHUNGU SANA KULIKO YA BINADAMU.
SO DIAMOND NI MTU TU KIMWILI LAKINI KWA KITENDO CHA KUMTENGA BABA YAKE, HANA CHEMBE CHEMBE ZA UTU WALA UBINADAMU HATA 0.1%
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Abdul hapewi nafasi ya kujieleza,,,ila DIAMOND hadi yupo sec alikuwa ANAKWENDA kwa mzee wake,,,,TATIZO mama zetu wana SUMU Kali sn,,especially mtoto akiwa na mafanikio,,,ukikuta mama mwenye CHOYO basi UJUWE baba huna CHAKO..Prove it, dadavua.
Sio kweli mkuu, hizo media zinazomuhoji si ndio nafasi ya kujielezaMzee Abdul hapewi nafasi ya kujieleza,,,ila DIAMOND hadi yupo sec alikuwa ANAKWENDA kwa mzee wake,,,,TATIZO mama zetu wana SUMU Kali sn,,especially mtoto akiwa na mafanikio,,,ukikuta mama mwenye CHOYO basi UJUWE baba huna CHAKO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee alisema ana mengi ya kumweleza mtoto, DIAMOND anakatazwa na mama YAKE,, hivi mtoto anakataliwa mimba? Mchanga? Au ukubwani?Huyo DIAMOND MSHAMBA TU,,huwezi kumdhalilisha BABA YAKO KIASI HICHO ,,,na pengine hajuwi hata ile siku MIMBA YAKE INAINGIA,,baba YAKE alitumia NGUVU KIASI gn kulazimisha PENZI KWA MAMA YAKE,, BABA NI BABA hata awe CHIZI..wewe unaona ni sawa? Mzazi kutembeza viatu barabarani?Sio kweli mkuu, hizo media zinazomuhoji si ndio nafasi ya kujieleza
Unaweza ukamtafuta baba yako sawa na hata Diamond nae amemtafuta baba yake na anafahamu anapokaa..changamoto iliyopo hata kwa mzee wake mwenyewe Diamond ni kitu kinaitwa "MATARAJIO" yaani baba anatarajia support kubwaaaaaa na jamii pia inapenda Diamond atoe support kubwaaaaaaa kulingana na aina ya kipato anachopata (nadhani dogo ana provide service kwa mzee wake na kama kweli umelelewa na upande mmoja utakuwa na ushuhuda mzuri sana kwamba mtu anapolelewa na upande mmoja alafu akabaki kule ambapo kuna dhiki kuu mara nyingi huwa anapoteza feelings kabisa kwa upande mwngine wa mzazi ambao ulikuwa una angalau hivyo hata akimtafuta baba yake akamfahamu bado hatokuwa close nae kivile tofauti na yule aliekuwa nae kwenye dhiki na faraja lakini haina maana kwamba anamchukia.Unajuaje kama na mimi nimelelewa na mama na bado nikamtafuta baba nikiwa mtu mzima. Nimesema na ninarudia tena dini yangu inasema samehe saba mara sabini
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp napo kwa Queen Doreen napo, manake naye alifikia hatua mpaka ya kumtukana matusi makubwa (mpaka wakawa wanaya mute) kupitia Shilawadu au bado unahisi napo hajapewa nafasi ya kujitetea? Mpaka Queen akatamka mzee si baba yake.Mzee Abdul hapewi nafasi ya kujieleza,,,ila DIAMOND hadi yupo sec alikuwa ANAKWENDA kwa mzee wake,,,,TATIZO mama zetu wana SUMU Kali sn,,especially mtoto akiwa na mafanikio,,,ukikuta mama mwenye CHOYO basi UJUWE baba huna CHAKO..
Sent using Jamii Forums mobile app