Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Hujajua maumivu ya kukataliwa na mzazi wewe tena hilo neno la kumdharau futa.
Ni maumivu yasiyoelezeka wewe unazungumza tu kwa sababu ulipata malezi ya wazzi wote.

Kupewa pesa si tatizo yule mzee pesa anapata, tatizo ni msamaha ni kitu kigumu sana mwanadamu kukitoa, haihitaji media ili kupata msamaha anahitaji wasuluhishi shauri yake.
Lkn inavyoonekana mzee alitemana na mama yake dai akiwa mkubwa almost km yuko sekondari vile, pale inavyoonekana kuna maneno tu alilishwa na mama yake. Na km kweli alikanwa basi mzee anatumikia karma yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo mambo kwa akili ya kawaida ya binadamu yanahitaji tafakuri ya kina.Muda umefika sasa kwa watanzania kuweza kufikiri nje ya box kuliko kujitoa ufahamu na kujifanya kama hatuoni km kijana wetu tunaempenda anapotea na
kama kuna hatua za dharura tunaweza kuzichukua kumsaidia uyu kijana arudi kwenye mstari ili tusije tukampoteza

Mifano iko mingi sana na watanzania tunaijua lakini mimi sitaki kupotea muda hapa wa kutoa mifano kibao na kujaza gazeti, nitatoa mfano mmoja tu

"Yaani kwa akili tu za kawaida inawezekana vipi ukaleta wasanii wakubwa kama Wizkid na Tiwa Savage toka Nigeria mpaka bongo na kuwalipa "huge sums of money" na hapo hapo kuwapa malazi katika "five stars hotels" lkn babako mzazi aliyekuleta katika dunia hii bado anaishi Tandale kwa Mtogole na anatembelea bodaboda?! Hata kama ni roho mbaya hii umepitiliza

Ebu watanzania wa upendo tulionao tulijadili hili suala kwa umakini ili tumsaidie huyu kijana njia aliyoamua kuipitia kupata haya mafanikio aliyokuwa nayo sasa sio nzuri na kuna kila dalili kuwa mwisho wake utakuwa mbaya sana usipochukua hatua za dharura kumsaidia dunia itatuuhukumu baadae

Nafungua mjadala kwa maswali "ni kweli Diamond amemtoa babake ndondocha ili kuyapata haya mafanikio yake?"...."is something going on behind the scene of his success?"..... Tiririka mdau
 
Kwani like fuvu la kichwa linalosemekana lipo ofisini kwake kina kazi gani
 
ivi na freemason wa ulaya wanatoana undondocha ka jay z, beyonce, unakuta wanahudumia misukule ndani?

wewe baba yako huko kijijini anahangaika ww una simu ya smart na unamfatilia diamond badala ya kumsaidia mzee wako je? umemtoa kafara pia.

kabla ya diamond kuwa na hela na maarafu huyo mzee wake alikuwa anatembela VX ama gari gani hadi tuseme katolewa kafara.

vp mzee wake ana akili timamu ama za kindondocha kama ww ivi? kuona mtu kafanikiwa unajua ni freemasoni
 
Ngoja nikutafutie bonge la tusi.
Kuna watu wapumbavu sana kila utakalowauliza wanakataa.
Wewe ni miongoni mwa hao wapumbavu?.
Kweli wivu ukizidi mwisho mauti. Unajua aliyoyafanya baba yake Diamond kwa mwanae?
Goli halina thamani zaidi ya malezi. Unaweza ukazaa ila ukakosa thamani kwakutokumlea mtoto wako.
 
Akili ya kushindwa bwana, hapa unajaribu kunustify kuwa wewe huna mafanikio kwasababu sio freemasons.
Ndiyo maana mafanikio mara nyingi yanatokana na mtazamamo wa mtu na wala siyo katoka familia gani.
Ni umpumbavu uliopitiliza kuamini Freemasons, Hawa jamaa sijui Wana akili za chooni au za wapi.
Kuwa Freemason ndiyo kuwa na hela sijui Nani kawaroga mitaahira hii haiishi tz.
Hebu tusaidiane kuyapa elimu hata ya chekechea mataahira yanayoabudu Freemasons
 
Ngoja nikutafutie bonge la tusi.
Kuna watu wapumbavu sana kila utakalowauliza wanakataa.
Wewe ni miongoni mwa hao wapumbavu?.
Kweli wivu ukizidi mwisho mauti. Unajua aliyoyafanya baba yake Diamond kwa mwanae?
Goli halina thamani zaidi ya malezi. Unaweza ukazaa ila ukakosa thamani kwakutokumlea mtoto wako.
ww babako aliekulea toka mdogo mpk umeota ma**zi...jiulize umemkosea mangapi mbona amekusamehe yt?!
 
ivi na freemason wa ulaya wanatoana undondocha ka jay z, beyonce, unakuta wanahudumia misukule ndani?

wewe baba yako huko kijijini anahangaika ww una simu ya smart na unamfatilia diamond badala ya kumsaidia mzee wako je? umemtoa kafara pia.

kabla ya diamond kuwa na hela na maarafu huyo mzee wake alikuwa anatembela VX ama gari gani hadi tuseme katolewa kafara.

vp mzee wake ana akili timamu ama za kindondocha kama ww ivi? kuona mtu kafanikiwa unajua ni freemasoni
Hapo ndio ubongo wako umeishia kufikiri? inaonekana ndani ya fuvu la kichwa chako kuna kitu kimejazwa badala ya ubongo kama sii makamasi masi n uchafu mwingine utokao ndani ya mwili. Hata ukiambiwa freemason hujui wewe acha kuchapa kazi. acha kufanya ubunifu wewe poteza muda wa kuchambua mafanikio ya wenzako
 
dogo umedata, sasa inani quote mimi tena ndio unajibu. mfate mtoa bandiko
 
ww babako aliekulea toka mdogo mpk umeota ma**zi...jiulize umemkosea mangapi mbona amekusamehe yt?!
Mimi na baba yangu hatujaonana sasa mwaka wa 10. Maza karibu kila mwezi namtumia fedha na ninataka kumjengea nyumba sasa. Tangu naanza form four father akaacha kunilipia ada na sijaiona hata mia yake. Alijua nitashindwa na kukwama but sijakwama mpaka nikamaliza elimu na kuajiriwa. Kama hataniomba msamaha sitamtafuta. Na yeye sasa anaona aibu hana pa kunianza.
 
Back
Top Bottom