MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
We jamaa kama sio muhaya,sijui tu.Wapi Fabrice amewekwa namba mbili????
Hii ni kwa Wataalam wa mpira tu Coachers nk
Labda Ungejaribu Kuuliza kiufundi umeandikaje ningekufafanulia.
Mimi ni Expert
Kwangu mm ningechezesha 3-5-2 hapa ndio Saido atahusika,aanze Boko then Bareke aingie second half,viungo mzamiru kanute ngoma wanatakiwa kuanza,ningemuweka benchi Chama.
Waarabu wanatanua uwanja Kwa kutumia sn mawinga so unahitabi idadi kubwa ya viungo wanaoweza kimbia muda wote.
NB
Baleke mzuri sn akiingia km sub and not kuanza
Huo mfumo wa kujilinda hauna nafasi kwa mechi ya leo zaidi ni kushambulia mwanzo mwisho maana tunatafuta ushindi.
Wewe unajiita expert lakini unashindwa kubaini kwamba Simba anahitaji ushindi ili afuzu hatua inayofuata.
Simba washambulie mwanzo mwisho, hakuna haja ya kuzuia wakati unatafuta ushindi
Al Ahly leo atakua too much offensively ili aongeze confidence ya aggregate.Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi.
Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa Manula. Cha kufanya Ili kupunguza aibu ni kwenda na mifumo mitatu tu ifuatavyo;
1. Wampange Aishi Manula au Ayoub Mdaka Mapanzi.
- 3: 5:1: 1
- 4: 3 :3
- 5: 3: 2
2. Shomary Kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4. Che amalone Fondoh.
5. Enock Inonga.
6. Muzamiru Yassin.
7 Kibu Denis.
8. Sadio Kanute Putin
9. Jean Baleke.
10. Fabrice Ngoma
11. Clotus Chama.
Nina uhakika Simba wakianza hivi ugenini kwa Al Ahly watapunguza magoli mengi mno.
Ayoub au Manula.
Shomary, Inonga na chemalone Shabalala.
Kiungo;
Kanute, Ngoma, Mzamiru, Kibu.
Ushambuliaji;
Chama na Baleke
...................................................................................
Wakikwama hapo wanaweza wakaenda kama ifuatavyo;
3 : 5 : 2
Ayoub mdaka panzi
Mabeki 3;
Kenedy Inonga, Chemalone,
Kiungo;
Kapombe, Mzamiru , Ngoma, kanute na shabalala.
Ushambuliaji;
Kibu na Baleke
Simba akienda na hiyo mifumo ninauhakika atapata sare, au kupunguza magoli ya kufungwa.
Al Ahly leo atakua too much offensively ili aongeze confidence ya aggregate.
Kwahiyo automatic atakua busy sana kwenye lango la simba.
Hivyo basi ili simba waweze ku win hii game wanatakiwa kule mbele waweke wachezaji wenye speed na wawe 'direct'. Mfano., Kibu,Baleke na Phiri.
Zile unnecessary passes kwenye 18 yards mpaka 8 zinatakiwa zipungue.
SIdhani kama ni fergerson ndio alisema hivyo, huyo ni Mourinho.Alex FERGASON anasema Safu Bora ya Ulinzi itakupa Mataji.
Safu Bora ya Ushambuliaji itakupa MAGOLi.
Chagua kati ya magoli au Mataji
SIdhani kama ni fergerson ndio alisema hivyo, huyo ni Mourinho.
Fergie alichukuwa ubingwa wake wa mwisho akiwa na defence mbovu na forwad kali.
Hapana huyo ni babu Fergie na wala sio Jose Mourinho.SIdhani kama ni fergerson ndio alisema hivyo, huyo ni Mourinho.
Fergie alichukuwa ubingwa wake wa mwisho akiwa na defence mbovu na forwad kali.
Hapana huyo ni babu Fergie na wala sio Jose Mourinho.
Babu Fergie alisema kua "strikers will give you the goals but difenders will award you the titles."
Mourinho yeye alisema "Boys will entertain but Men gives you a trophies."
Simba mwenzangu..naona aibu kuongea vibayaIli kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi.
Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa Manula. Cha kufanya Ili kupunguza aibu ni kwenda na mifumo mitatu tu ifuatavyo;
1. Wampange Aishi Manula au Ayoub Mdaka Mapanzi.
- 3: 5:1: 1
- 4: 3 :3
- 5: 3: 2
2. Shomary Kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4. Che amalone Fondoh.
5. Enock Inonga.
6. Muzamiru Yassin.
7 Kibu Denis.
8. Sadio Kanute Putin
9. Jean Baleke.
10. Fabrice Ngoma
11. Clotus Chama.
Nina uhakika Simba wakianza hivi ugenini kwa Al Ahly watapunguza magoli mengi mno.
Ayoub au Manula.
Shomary, Inonga na chemalone Shabalala.
Kiungo;
Kanute, Ngoma, Mzamiru, Kibu.
Ushambuliaji;
Chama na Baleke
...................................................................................
Wakikwama hapo wanaweza wakaenda kama ifuatavyo;
3 : 5 : 2
Ayoub mdaka panzi
Mabeki 3;
Kenedy Inonga, Chemalone,
Kiungo;
Kapombe, Mzamiru , Ngoma, kanute na shabalala.
Ushambuliaji;
Kibu na Baleke
Simba akienda na hiyo mifumo ninauhakika atapata sare, au kupunguza magoli ya kufungwa.
KOCHA HAJASIKIA USHAURI HUKO.......
5-0