Maskini uwa mnapenda kutoa ushauri! Sijui kwanini? Wewe kila ukifungua uzi hapa ni nadra sana kutomkosoa MO! Au kumpa ushauri! Huo ushauri mngeutoa kipindi kile MO hajaja Simba! Simba ingekuwa mbali sana, uenda MO angeikuta Simba ina management ya maana na ingekuwa na mataji ya Africa.
Unaonyesha jinsi usivyo na elimu ya management ya fedha! Mnafikili ukiwa na fedha ni kuzitumia tu bila fremwork ili mradi waswahili wafurahi!
Nyie ndio mkioteaga vipesa mnaishia kuhonga kila mwanamke mwenye matako anaepita mbele yenu na baadae mkiishiwa mnabaki mnatia huruma au mnakufa.
Sijawahi kuona unatoa ushauri wa ni namna gani Simba inaweza kutengeneza vyanzo zaidi vya mapato ili iweze kusajiri wachezaji wazuri na kushindana kwenye soko la usajiri.
MO ameikuta Simba ikiwa haina vyanzo vya mapato vya maana zaidi ya kutegemea gate collection na michango ya kadi za wanachama ambao malipo yake hayawezi kununua hata maji ya kunywa ya wachezaji msimu mzima!!
Ametengeneza mifumo ya ki-management walau sasa timu ina management ya kueleweka na wadhamini angalau wanatoa pesa ya maana kidogo, mnavyoona timu kubwa za misri, Morocco, Tunisia mnadhani zimefika juu kirahisi tu.
Nyie waswahili ambao mmeshindwa kuendesha miradi yenu ya umma hata midogo kama hii ya mwendokasi,ndio mtaweza kumshauri muhindi!! Simba imepiga hatua na hatua ni prosses .
Anachopambana sasa hivi MO ni kumeintanance mafanikio na kuibrand Simba zaidi ili ipate wadhamini wenye pesa nzuri ishindane kwenye usajiri na kupata mafanikio.
Nyie waswahili mkisikia muekezaji mnafikili kazi yake ni kumwaga pesa tu!! Kazi kweli kweli ndio maana mnadanganywa kuwa muekezaji wa bandarini atawaongezea mapato na nchi itakuwa tajiri.