Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

Tangu akiwa AG wa Znz ,Othuman unajukikana msimamo wake binafsi ni upi aligombana na kina shein na kikwete mwisho wakamfuta kazi kwa dhihaka na aibu... lakini bado hakubadilika... Nilishtuka sana siku Kamati kuu ilivyosema Maalim alimpendekeza kuwa mrithi wake,nikajua moto utawaka tu mbeleni
ACT siyo wajinga kumpendekeza huyo jamaa kwenye nafasi hiyo. CCM wanamjua pamoja na paskali, fikiria alikuwa na nafasi nzuri ya kula lakini akajitoa mhanga. Sasa yuko sebuleni analiamsha kisawasawa lakini yote anayo yasema ndio yale wa zanzibar walitoa kama maoni yao kwa warioba pamoja na shein mwenyewe.
Paskali ajibu hoja zake na sio kujificha nyuma ya collective responsibility na ilani ya kijani. Serikali halisi ya mseto wahusika hukubaliana sera zipi za kutekeleza sio huu utopolo anaoleta paskali hapa, mfano mzuri ujerumani.
Uzuri jamaa ni mwanasheria hivyo anajua wapi apige. Kumfukuza nikulianzisha upya.
 
Woote hao wawili pamoja na wote waliochangia hapa mmekwepa kitu kimoja muhimu sana chenye mchanganuo huu hapa

1. Hakuna anayeipigania TANGANYIKA.. Hili Taifa ndani ya muungano liko wapi? Kwanini kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika kisha ndio ije TANZANIA?

2. ZANZIBAR ni Taifa huru lililofanya muungano na TANGANYIKA kuunda TANZANIA kwahiyo kama ilivyo kwa Tanganyika ya sasa isiyosemwa ndio hivyo hivyo ilipaswa iwepo Zanzibar isiyosemwa bali kwa Pamoja tuitambue TANZANIA

3. Kwenye huu muungano/muunganiko wa sasa bado Zanzibar ana faida kubwa kwenye jina kwakuwa hata muungano ukavunjika kesho jina lake lipo halijapotea na linatambulika kila mahali mpaka kwenye nyaraka rasmi.. Hii ni sawa na kusilimu lakini bado ukabaki na jina lako.. HIKI NI KIINI MACHO na mtego wa kisheria..

4. Kuna wakati mamlaka ya Zanzibar kamili yalipokwa na Tanganyika kipindi cha Mwalimu Nyerere lakini tangu hapo Zanzibar ilizinduka na kuanza taratibu kurudisha mamlaka yake.. Na mpaka sasa imeshafanikiwa kwa asilimia 95

5. Kwa sasa hiki kinachopigiwa kelele kwenye hicho kinachoitwa muungano ni kama vile ni zuga tuu kwakuwa muungano huu wa sasa umeshikiliwa na kipengele kimoja tu cha SIASA .. ukitoa hicho kipengele hakuna muungano..

6. Ili taifa litambulike kama taifa kamili linahitaji mambo haya matano tu
. Mkuu wa nchi
. Bunge
. Jeshi
. Wimbo wa taifa
. Mipaka

Kisha yanakuja ya chama cha siasa ambayo sio muhimu kivile kwakuwa kuna mataifa yanaongozwa kijeshi na kifalme... Ama sarafu nayo sio muhimu kivile kwakuwa kuna mataifa yanatumia sarafu za mataifa mengine

Kwenye hili Zanzibar iko kamili na ikitokea la kutokea haya mataifa mawili kwenye uchaguzi kila taifa kukawa na vyama tofauti vilivyoshinda huo uchaguzi ..HAKUNA MUUNGANO TENA!

Swali la kujiuliza je Tanganyika itarejea ana tutaendelea na jina la muungano la TANZANIA? je Wa ZANZIBAR wakikataa?
 
We nadhani umeshachanganyikiwa, hakuna kitu kibaya kama kukaa unajikomba iliuteuliwe ni jambo la kijinga sn, akina Nyerere na Mandela kama wangekuwa na akili za kwako mpaka leo wakoloni wangeendelea kuwepo. shame on you
 
Woote hao wawili pamoja na wote waliochangia hapa mmekwepa kitu kimoja muhimu sana chenye mchanganuo huu hapa

1. Hakuna anayeipigania TANGANYIKA.. Hili Taifa ndani ya muungano liko wapi? Kwanini kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika kisha ndio ije TANZANIA?

2. ZANZIBAR ni Taifa huru lililofanya muungano na TANGANYIKA kuunda TANZANIA kwahiyo kama ilivyo kwa Tanganyika ya sasa isiyosemwa ndio hivyo hivyo ilipaswa iwepo Zanzibar isiyosemwa bali kwa Pamoja tuitambue TANZANIA

3. Kwenye huu muungano/muunganiko wa sasa bado Zanzibar ana faida kubwa kwenye jina kwakuwa hata muungano ukavunjika kesho jina lake lipo halijapotea na linatambulika kila mahali mpaka kwenye nyaraka rasmi.. Hii ni sawa na kusilimu lakini bado ukabaki na jina lako.. HIKI NI KIINI MACHO na mtego wa kisheria..

4. Kuna wakati mamlaka ya Zanzibar kamili yalipokwa na Tanganyika kipindi cha Mwalimu Nyerere lakini tangu hapo Zanzibar ilizinduka na kuanza taratibu kurudisha mamlaka yake.. Na mpaka sasa imeshafanikiwa kwa asilimia 95

5. Kwa sasa hiki kinachopigiwa kelele kwenye hicho kinachoitwa muungano ni kama vile ni zuga tuu kwakuwa muungano huu wa sasa umeshikiliwa na kipengele kimoja tu cha SIASA .. ukitoa hicho kipengele hakuna muungano..

6. Ili taifa litambulike kama taifa kamili linahitaji mambo haya matano tu
. Mkuu wa nchi
. Bunge
. Jeshi
. Wimbo wa taifa
. Mipaka

Kisha yanakuja ya chama cha siasa ambayo sio muhimu kivile kwakuwa kuna mataifa yanaongozwa kijeshi na kifalme... Ama sarafu nayo sio muhimu kivile kwakuwa kuna mataifa yanatumia sarafu za mataifa mengine

Kwenye hili Zanzibar iko kamili na ikitokea la kutokea haya mataifa mawili kwenye uchaguzi kila taifa kukawa na vyama tofauti vilivyoshinda huo uchaguzi ..HAKUNA MUUNGANO TENA!

Swali la kujiuliza je Tanganyika itarejea ana tutaendelea na jina la muungano la TANZANIA? je Wa ZANZIBAR wakikataa?
Kwanza huu muungano fake uvunjwe haraka
 
Tembea na serikali 3 karibu yote yatajibiwa. Muungano ukivunjika rudi Tanganyika au.....
 
Huyu jama paschal kuna kipindi ananiangusha, kwanini hapendi mawazo mbadala, siasa sio wote lazima tufanane kifkira
Siyo hapendi anajikomba iliapewe mikataba serikalini maana dikteta alimpiga pin akajikomba kwenye uchaguzi akaishia kura moja ya kwake aibu kubwa mtu maarufu unaishi kura moja maanake watu hawamtaki wanajua ni ndumilakuwili
 
Maoni mbadala ndio yanaendeleza nchi, kumfuta kazi maana yake ni kujidumaza kiakili na matokeo yake ni kudumaza maendeleo ya nchi.

Chama kuwa kwenye serikali ya mseto sio kama mwanamke aliyechumbiwa na mwanaume, still hao walioko kwenye mseto wanatakiwa kuwa huru kimawazo, kujipendekeza kwa watawala ni ujinga.

Ninahisi huyo Othman anaweza kushughulikiwa na viongozi wa chama chake, kwasababu wenzie wote sasa ni walamba asali.

Wakati mwingine huwa najiuliza hivi mkiwa mnahubiri demokrasia huwa mnakuwa mmelewa au? kwasababu najua nyie ni madikteta, na wewe ni mfano mmojawapo wa madikteta tulionao, unapenda vya kukufurahisha machoni pako pekee.
Pascal ni mchumia tumbo wala hana lolote
 
Tufike mahali, tuanzishe Tanganyika-exit, tuachane na huu upumbavu unaitwa muungano wa kulazimishana.

Hata Wizara ya muungano ivunjwe, ni matumizi ya hovyo kuendelea kuwepo. Kama kuna kero za huo muungano, zitatuliwe na wizara husika toka pande zote mbili, under supervion of VP.
 
Woote hao wawili pamoja na wote waliochangia hapa mmekwepa kitu kimoja muhimu sana chenye mchanganuo huu hapa

1. Hakuna anayeipigania TANGANYIKA.. Hili Taifa ndani ya muungano liko wapi? Kwanini kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika kisha ndio ije TANZANIA?

2. ZANZIBAR ni Taifa huru lililofanya muungano na TANGANYIKA kuunda TANZANIA kwahiyo kama ilivyo kwa Tanganyika ya sasa isiyosemwa ndio hivyo hivyo ilipaswa iwepo Zanzibar isiyosemwa bali kwa Pamoja tuitambue TANZANIA

3. Kwenye huu muungano/muunganiko wa sasa bado Zanzibar ana faida kubwa kwenye jina kwakuwa hata muungano ukavunjika kesho jina lake lipo halijapotea na linatambulika kila mahali mpaka kwenye nyaraka rasmi.. Hii ni sawa na kusilimu lakini bado ukabaki na jina lako.. HIKI NI KIINI MACHO na mtego wa kisheria..

4. Kuna wakati mamlaka ya Zanzibar kamili yalipokwa na Tanganyika kipindi cha Mwalimu Nyerere lakini tangu hapo Zanzibar ilizinduka na kuanza taratibu kurudisha mamlaka yake.. Na mpaka sasa imeshafanikiwa kwa asilimia 95

5. Kwa sasa hiki kinachopigiwa kelele kwenye hicho kinachoitwa muungano ni kama vile ni zuga tuu kwakuwa muungano huu wa sasa umeshikiliwa na kipengele kimoja tu cha SIASA .. ukitoa hicho kipengele hakuna muungano..

6. Ili taifa litambulike kama taifa kamili linahitaji mambo haya matano tu
. Mkuu wa nchi
. Bunge
. Jeshi
. Wimbo wa taifa
. Mipaka

Kisha yanakuja ya chama cha siasa ambayo sio muhimu kivile kwakuwa kuna mataifa yanaongozwa kijeshi na kifalme... Ama sarafu nayo sio muhimu kivile kwakuwa kuna mataifa yanatumia sarafu za mataifa mengine

Kwenye hili Zanzibar iko kamili na ikitokea la kutokea haya mataifa mawili kwenye uchaguzi kila taifa kukawa na vyama tofauti vilivyoshinda huo uchaguzi ..HAKUNA MUUNGANO TENA!

Swali la kujiuliza je Tanganyika itarejea ana tutaendelea na jina la muungano la TANZANIA? je Wa ZANZIBAR wakikataa?
Unajua Mshana wewe uko deep sana bro.

Tupo tunajifunza kupitia wewe.
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali
We jamaa mchochezi sana. Janja yako tumekugundua unataka Mwinyi wamrudishe Bara??
 
Pascal kuficha ugonjwa hakukufanyi uwe mzima, wewe sawa na mwendazake haupendi mawazo mbadala unapenda watu kudanganywa tu huku ukweli ukiuita sumu, tuseme akifukuzwa kazi unadhani utsteuliwa wewe! Mbona wewe mkatili hivyo haupendi upinzani unapenda tuishi kijingajinga!
 
OMO like other trained lawyers is very smart in articulating issues; he never miss a word to the audience. He is speaking from both experience of work and legal mind. While referring to article 98 of UCRT, dictates on majority rule in the house. Our country was founded up in good faith unlike CONSTITUTIONAL Framework like of USA,UK or GERMANY. Our constitution is very porous to allow doubts on who is who and when can we be either equal or One.
In 2010, its like Zanzibaris made a peaceful revolution of declaring its independence from the mainland by passing their constitution which declared its sovereignty, boundaries, how to interpret its constitutions and other prerogative powers vested to the Head of the state while its not a sovereign state.
I invite Senior counsel Pascal to go through article 102 to 103 of UCRT which establish Revolutionary Government, article 105(b) recognize Chief Minister of Zanzibar- Waziri Kiongozi which was abolished since 2010. His post has been replaced by Second-Vice President of Revolutionary GVT.

Zanzibar Constitution of 2010 has mandated its High Court to interpret its constitution and banned any court to interpret its constitution contrary to article 116(1) of UCRT where Court of Appeal of Tz is vested with powers to interpret all constitutional issues. Its my humbly submission that OMO is revealing the wishes and expectations of some citizens in Zanzibar. Its high time to conduct referendum about our Union, its structures and on what matters? We have 22 Union matters and the rest are non union matters. Even some of our ministries are non union matters but you can imagine, which State does it represent? Kuna wizara kama 5 za Muungano namely Defense, Foreign affairs, Internal affairs, Finance, Union& Environment, etc but others are duplicate/replicate of one side to another, for instance kuna Elimu na Amali Zanzibar, then kuna wizara ya ELimu,Sayansi na Teknolojia ya Tz, ipo Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar na kuna wizara ya Ujenzi, uchukuzi Tanzania etc.

OMO lighting a candle in a deep dark ages to unveil some constitutional lacuna which must be resolved before the darkening age arrives on thrones.
I invite any criticism from whoever wish to do so
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali
Ebu kwanza tupe hiyo ibara namba ngapi atakayo itumia Rais Mwinyi kumfurusha huyo makamu wake wa kwanza.
 
Ushauri mzuri sana.
 
Ata kama sera zinazotekelezwa ni za ccm bado hizo sera haziwezi kuwa msahafu au bullet proof ili zisikosolewe kwa maboresho.
Kuwa kwenye GNU hakuondoi uhuru wa mtu kimawazo,wazo la kumfukuza kwa sababu ya mawazo yake mbadala ni ujinga,upumbavu wa kujipendekeza na udikteta uchwara,kila mtu ana uhuru wa mawazo awe kiongozi au raia wa kawaida....and that is democracy.
 
Back
Top Bottom