Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

Wagombanapo hao mafahari iumiyao ni nyasi ambayo ni Feisal
 

Ushauri mzuri sana, ila Bwana, sijui huwa ni fungu la kukosa
 
Ushauri mzuri sana, ila Bwana, sijui huwa ni fungu la kukosa
Kwa dalili ninazo ziona, naona huyu dogo ameona liwalo na liwe. Na kwa hali jinsi ilivyo, bila shaka atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa msimu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…