Ndiyo utoto huo.Alizitumia akaambiwa amekosea afuate taratibu. Sasa ni zipi? Yeye anazozijua ameshaambiwa sizo.
Si alishawahi kuonekana na wanasheria kwenye vikao vya TFF? Hata hao walishindwa kumshauri?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo utoto huo.Alizitumia akaambiwa amekosea afuate taratibu. Sasa ni zipi? Yeye anazozijua ameshaambiwa sizo.
Barua yake ya mwisho ameomba nn? Sio kwamba ameomba apewe muongozo wa kuachana na Yanga baada ya kukosea? Huo muongozo ameshapewa?Ndiyo utoto huo.
Si alishawahi kuonekana na wanasheria kwenye vikao vya TFF? Hats hao walishindwa kumshauri?!
Huwa wanakaa mezani na kufikia muafaka. Na kama mchezaji atagoma kuondoka, timu haiwezi kumuondoa kwa ulazima. Na huu ndiyo utaratibu ulivyo.Na vp kuhusu mchezaji kama Club haimtaki? Anaweza kulazimisha kubaki kambini? Tuachane na Usimba na Uyanga. Tujadili tukiwa huru. Mchezaji ana haki sawasawa na Club pale ambapo Club haimtaki? Anaweza goma kulipwa na akalazimisha kubaki kambini?
Kwa nini anataka Yanga wampe mwongozo wakati ana mkataba? Kila kitu si kiko wazi kwenye mkataba?Barua yake ya mwisho ameomba nn? Sio kwamba ameomba apewe muongozo wa kuachana na Yanga baada ya kukosea? Huo muongozo ameshapewa?
Ushawahi sikia mchezaji kaenda TFF kulazimisha kubaki kambini? Wote wanaendaga kudai fidia za kuvunjwa mkataba. Yupo ambaye hakutaka kutaja fidia alichokuwa anataka ni kubaki kambini?Huwa wanakaa mezani na kufikia muafaka. Na kama mchezaji atagoma kuondoka, timu haiwezi kumuondoa kwa ulazima. Na huu ndiyo utaratibu ulivyo.
Boss yeye alitumia vipengele akaambiwa huo ni uhuni. Sasa kaomba msaada kwa kamati imwambie ni nn afanye ili aondoke. Yanga wao hawataki mambo ya mchezaji kuondoka akiwa huru wanataka aje kambini timu inayomtaka ilete maombi. Timu inayomtaka haijaenda, mchezaji anataka kuondoka.Kwa nini anataka Yanga wampe mwongozo wakati ana mkataba? Kila kitu si kiko wazi kwenye mkataba?
Kama yeye kashindwa kutafsiri si aombe msaada wa wanasheria?
Mkuu kwa uelewa wako Fei anataka kuondoka Yanga aende wapi?Boss yeye alitumia vipengele akaambiwa huo ni uhuni. Sasa kaomba msaada kwa kamati imwambie ni nn afanye ili aondoke. Yanga wao hawataki mambo ya mchezaji kuondoka akiwa huru wanataka aje kambini timu inayomtaka ilete maombi. Timu inayomtaka haijaenda, mchezaji anataka kuondoka.
Kuna timu inamtaka. Sidhani kama anataka kurudi mtaani.Mkuu kwa uelewa wako Fei anataka kuondoka Yanga aende wapi?
Kama kuna timu inamtaka mbona rahisi tu?!Kuna timu inamtaka. Sidhani kama anataka kurudi mtaani.
Hahaha huenda Dau kubwa sana wamepewa wakakimbia Fei akaona alipwe yeye ajiondokee kuliko kupokea m4 mpaka 2024.Kama kuna timu inamtaka mbona rahisi tu?!
Hiyo timu ndiyo inatakiwa kuwasiliana na mwajiri wake Yanga, ili wayamalize.
Unajua hivi ni vita vya maslahi tu. Club inayomtaka haioni sababu ya kulipa fedha walizoambiwa walipe, Fei haoni sababu ya kuwekewa dau kubwa na Yanga inataka fedha nyingi kupitia Fei.Kama kuna timu inamtaka mbona rahisi tu?!
Hiyo timu ndiyo inatakiwa kuwasiliana na mwajiri wake Yanga, ili wayamalize.
Yeye anavyojaribu kumaliza hili suala ni kana kwamba anataka kurudi mtaani!
Sidhani kama Fei kawekewa dau kubwa kuliko ilivyoainishwa kwenye mkataba wake.Unajua hivi ni vita vya maslahi tu. Club inayomtaka haioni sababu ya kulipa fedha walizoambiwa walipe, Fei haoni sababu ya kuwekewa dau kubwa na Yanga inataka fedha nyingi kupitia Fei.
Fei hajapewa dau, dau lipo kwa club inayomuhitaji. Fei yeye anataka kuondoka yeye kama yeye masuala ya Club kumtaka yatakuja baadae akiwa huru. Ukumbuke akiondoka huru anakwenda kufanya makubaliano bila Yanga na pesa atapata yeye. Hiyo ni fursa ya kupata pesa kaiona.Sidhani kama Fei kawekewa dau kubwa kuliko ilivyoainishwa kwenye mkataba wake.
Kama anataka kuondoka bila kulipa cho chote arudi kikosini, aheshimu mkataba wake hadi utakapomalizika.
Tofaulti na hiyo ndiyo utoto tunaosema.
Hapo hakuna biashara arudi kundini asubiri mkataba wake ufike mwisho vinginevyo anajiumiza mwenyewe, na kitakacho tokea atakuja kufungiwa kucheza mpira time will tellOk upo sawa kama Yanga wameweka hilo dau mezani, Na Kama hakuna timu iliyotayari kumchukua na mchezaji hataki kubaki Yanga ni sawa akilipa M400 awe huru?
Club kama haimtaki mchezaji inamlipa stahiki zake kwa makubaliano, sio kati kati ya msimu unless kama kuna sababu ya msingiNa vp kuhusu mchezaji kama Club haimtaki? Anaweza kulazimisha kubaki kambini? Tuachane na Usimba na Uyanga. Tujadili tukiwa huru. Mchezaji ana haki sawasawa na Club pale ambapo Club haimtaki? Anaweza goma kulipwa na akalazimisha kubaki kambini?
Kama angekua amefata utaratibu asinge kua ana zunguka kwenye corridor za TFF mpka sasa angekua CAS anajua anamakosa ndio maana zinakuja mambo za kuoneana huruma mafano kauli za mama yake na hio tweet ya Fatuma KarumeAlizitumia akaambiwa amekosea afuate taratibu. Sasa ni zipi? Yeye anazozijua ameshaambiwa sizo. Haya maombi yake ya mwisho si kaomba apewe mwongozo wa kuachana na Yanga?
Bado mtoto hajayajua maisha,nadhani umri bado unamdanganyaKukataa tu kurudi Yanga na kukaa mtaani ni utoto!
Kwa nini hataki kufuata taratibu za kuvunja mkataba kama haitaki Yanga?!
Hivi una amini Fatuma Karume hajui sheria? ukiona yule Mama kanyoosha mikono jiongezeFei hajapewa dau, dau lipo kwa club inayomuhitaji. Fei yeye anataka kuondoka yeye kama yeye masuala ya Club kumtaka yatakuja baadae akiwa huru. Ukumbuke akiondoka huru anakwenda kufanya makubaliano bila Yanga na pesa atapata yeye. Hiyo ni fursa ya kupata pesa kaiona.
Sasa swali ni mkataba wake unasemaje iwapo anataka kuuvunja bila kutakwa na club nyingine? Yeye alipotumia hivyo vipengele akaambiwa sio utaratibu na TFF ikamwambia ww bado ni wa Yanga sasa ndo anasubiri aambiwe huo utaratibu ili ajiondokee. Kama mkataba unasema mchezaji hawezi kuvunja mkataba wake basi Yanga wapo sawa.