New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Huko Duniani hakupo hivyoAshasema hawezi kula matapishi, anaangalia mbele - cha msingi Yanga wakubali kuvunja mkataba wake kwa vipengele halali vilivyomo kwenye mkataba wake.
Mambo ya kukomoana yashapitwa na wakati, yaani kifupi Yanga wanafanya mambo ya ki-long sana kama mchezaji hataki si umwache muangalie exit room inasemeje kwenye mkataba.
Wewe unamlipa mil 3 kwa mwezi so kwa mwaka Mil 36 na ana mkataba na wewe wa miaka 2 lets say - afu wewe unataka akulipe mil 400 kuvunja mkataba - hiyo akili kweli ?
Kasome scenario ya Caicedo wa Brighton alivyotaka kuhamia Arsenal
Kwani wakati anasign aliomba kazi au mapenzi nq timu