Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kama amefanya bila maslahi yanayozidi maslahi ya ambacho angekipata akitulia hapo Yanga atakuwa mjinga. Kinyume na hapo yupo sawa, na kwasababu aliweza kuweka fedha Yanga ambayo mchezaji anayetegemea mshahara wa 4m siyo rahisi kuwa nayo, uwezekano ni kuwa kuna fedha amepewa."Huenda mda huu kwa hili alilofanya ana fedha za kutosha tu licha ya kwamba hachezi"
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hiki ulichoakiandika hapa.