Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

Kwa nini mnakesha mkiomba aje kuwaomba radhi kwani amekiri kuwakosea? Acheni mambo zenu.
Wanasema tatizo ni kuwa kiwango chake cha mpira kinapungua, baada ya kuona mechi aliyocheza. Hawa wanajaribu kumuhusia kuwa akikaa nje ya uwanja muda mrefu mpira kwake itakuwa ni historia. Au siyo Tate Mkuu
 
Kama kuna mtu alimpa Feisal zile pesa basi yule ndio muungwana

Alikuja kuwakumbusha Yanga kuhusu thamani ya mchezaji na namna wanavyochezea shilingi chooni

Mwanzo Yanga waliamini pesa ndio kikwazo cha kumpelekesha Feisal watakavyo, pengine walijua hawezi kuwa na uwezo wa kumudu kulipa kiwango kile na ndio maana hata alipowafata kuhusu kuboreshewa maslahi walimpuuza.

Since ile pesa imerudishwa kuna kitu wamejifunza hata kama sio kwa Feisal badi kwa wachezaji wengine waliobakia watakuwa makini
Uungwana wa kuvunja sheria?
 
FEI AMEPIGANA VITA VYA JINA KUBWA MASLAHI KIDOGO NA INAVYOONEKANA KWA UPANDE WA MASLAHI AMESHASHINDA. KILICHOBAKI NI VITA YA KIWANGO CHAKE. HATA AKISHINDWA ILA AKAWA NA FEDHA NI HERI KULIKO KUWA NA JINA KUBWA HUNA FEDHA.

Wapo mashabiki wengi wa Yanga wanaotaka kuprove kuwa Fei hakuwa sahihi kupigania maslahi yake bali alipaswa avumilie. Hawa wanasali rohoni mwao Fei asiwe kwenye form ili waseme "TULISEMA".
 
Mmh! Sio kwamba Wana Yanga wengi wanataka dogo arudi kutumikia mkataba wake alio usaini yeye mwenyewe na kukubakiana na yote yaliyo kwenye mkataba kwa kipindi flaani kilicho idhinishwa kwenye mkataba.

Mimi Naona wanayanga ndo wanamtakia mema dogo.

Kuliko wanasimba wengi na Wachambuzi ambao wao kutwa ni kumfitinisha na timu yake (Yanga) na kuzidi kusisitizia hasirudi akae nje ya uwanja kitu ambachobno Hatari kwa kiwango Cha mchezaji yoyote yule.

Au wewe kati ya hizi pande mbili kwa dogo wapi unaona wanamtakia mema ?
 
FEI AMEPIGANA VITA VYA JINA KUBWA MASLAHI KIDOGO NA INAVYOONEKANA KWA UPANDE WA MASLAHI AMESHASHINDA. KILICHOBAKI NI VITA YA KIWANGO CHAKE. HATA AKISHINDWA ILA AKAWA NA FEDHA NI HERI KULIKO KUWA NA JINA KUBWA HUNA FEDHA.

Wapo mashabiki wengi wa Yanga wanaotaka kuprove kuwa Fei hakuwa sahihi kupigania maslahi yake bali alipaswa avumilie. Hawa wanasali rohoni mwao Fei asiwe kwenye form ili waseme "TULISEMA".
Unapigana vita kama kuna dhuruma! swala la nyongeza ya mshahara ni makubaliano nadhani furaha yenu kuona huyu dogo ana haribikiwa imetimia, Samatta anatakiwa amfundishe jinsi alivyo ondoka Mazembe pamoja na vikwazo alivyo pata
 
FEI AMEPIGANA VITA VYA JINA KUBWA MASLAHI KIDOGO NA INAVYOONEKANA KWA UPANDE WA MASLAHI AMESHASHINDA. KILICHOBAKI NI VITA YA KIWANGO CHAKE. HATA AKISHINDWA ILA AKAWA NA FEDHA NI HERI KULIKO KUWA NA JINA KUBWA HUNA FEDHA.

Samahani Tsh, unajua kwanini Kuna kusign mikataba na kwanini ipo?

Nahakika kama unalijua ilo basi ili kuepusha aibu na fedhea utafutaa hiki ilichoandika hapa.

Na kama kweli mna(Simba na Wachambuzi) nia njema na Dogo mtamshauri vizuri Nini Cha kufanya bila kuleta migogoro ya pande zote mbili (Yeye na Yanga).
 
Wanasema tatizo ni kuwa kiwango chake cha mpira kinapungua, baada ya kuona mechi aliyocheza. Hawa wanajaribu kumuhusia kuwa akikaa nje ya uwanja muda mrefu mpira kwake itakuwa ni historia. Au siyo Tate Mkuu
Ndiyo hizo hizo geresha za huruma ninazozisema. Kwani yeye mjinga hajui akikaa njee muda mrefu kiwango kitashuka? Anahitaji kuwasililiza watesi wake ili kukumbuka hilo?
 
Unapigana vita kama kuna dhuruma! swala la nyongeza ya mshahara ni makubaliano nadhani furaha yenu kuona huyu dogo ana haribikiwa imetimia, Samatta anatakiwa amfundishe jinsi alivyo ondoka Mazembe pamoja na vikwazo alivyo pata
Dogo ana hela ya kuvunja mkataba wake Yanga na hela inayomfanya agomee mshahara anaolipwa Yanga halafu unasema kaharibikiwa. Watu wanataka maslahi hayo ya viwango na jina kubwa yanatafutwa ili maslahi yapatikane.
 
Samahani Tsh, unajua kwanini Kuna kusign mikataba na kwanini ipo?

Nahakika kama unalijua ilo basi ili kuepusha aibu na fedhea utafutaa hiki ilichoandika hapa.

Na kama kweli mna(Simba na Wachambuzi) nia njema na Dogo mtamshauri vizuri Nini Cha kufanya bila kuleta migogoro ya pande zote mbili (Yeye na Yanga).
Ushauri wangu kwa Fei ni afanye afanyalo asimalize soka kisha akafungua banda la kuuza mishkaki. Kama soka lake linaishia hapa ila kwa maslahi mazuri ni bora kuliko liishe miaka 5 ijayo akiwa hana kitu.
 
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena.

Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza kuitwa kwenye timu ya Taifa, huku akiwa hata hajulikani alipo kwa takribani miezi 3 sasa, kwa kweli anatakiwa ajione kama mtu aliyepewa heshima kubwa ambayo hata hakustahili!

Maana kuna wenzake wengi tu wameachwa huku wakiwa wamefanya vizuri kwenye vilabu vyao, tofauti na yeye ambaye mpaka sasa klabu yake ya Yanga inamtambua kama mchezaji mtoro!

Ushauri wangu kwake nikiwa kama mdau wa michezo, mara tu baada ya hiyo mechi ya marudio kumalizika; namshauri aitishe mkutano na vyombo vya habari. Halafu ajitokeze hadharani kuomba radhi kwa klabu yake ya Yanga, wanachama, mashabiki, na wadau wote wa mpira wa miguu kwa sintofahamu iliyojotokeza, ili maisha yaendelee.

Kama msamaha ukipokelewa, arudi kwenye kikosi, na kucheza kwa bidii mpaka mkataba wake utakapokwisha hapo mwakani na kama ataona kuna umuhimu wa kuongeza, ataongeza, kama ataona anahijitaji changamoto mpya, basi ataondoka kwa heshima kama free agent.

Angalizo; Iwapo hiyo mechi ya marudio itapita, halafu dogo atapotelea tena mafichoni, basi nitamuona kama ni kijana ambaye siyo muungwana, mkaidi, na asiye na busara, na nitashangaa sana kama TFF watamuita kwa mara nyingine tena mchezaji asiye na timu, asiyejitambua, na aliyekosa nidhamu kama Fei Toto.

Huyu mtoto anatakiwa kutambua ya kwamba, maisha yake kwa sasa yanategemea mpira. Hivyo kama mpira kwa upande wake ni kazi, basi anatakiwa pia auheshimu, na aweke pembeni mahaba yake na timu nyingine.

Ajifunze kwa maelfu ya wafanyakazi nchini na duniani kwa ujumla, ambao wanafanya kazi mbalimbali kwa moyo huku baadhi yao wakiwa hawana hata mahaba na hizo kazi. Maana kinacho angaliwa ni ule mshahara ambao mfanyakazi akiupata, anautumia kwenye mahitaji yake ya kila siku na wala siyo mahaba na hiyo kazi.

Ushauri mzuri sana ,bado ana umri mdogo ,afanye kama ulimvyomshauri ,kwa umri wake 2024 bado atakuwa kwenye peak hivyo team inayomuhitaji itamchukua kama free agent.....Kuwekeana ligi na yanga anayepoteza ni yeye wala si yanga....Yanga wameshika mpini yeye ameshika kwenye makali.
 
Dogo ana hela ya kuvunja mkataba wake Yanga na hela inayomfanya agomee mshahara anaolipwa Yanga halafu unasema kaharibikiwa. Watu wanataka maslahi hayo ya viwango na jina kubwa yanatafutwa ili maslahi yapatikane.
Basi afate ushauri wako tutaona mwisho wake (kuna mda shetani anajigeuza rafiki ili akumalize) maamuzi ni yake
 
Yeye ndo anajua kipi chenye maslahi kwake. Tusilazimishe kuwa maslahi yatapatikana akivumilia mshahara wa m4. Huenda mda huu kwa hili alilofanya ana fedha za kutosha tu licha ya kwamba hachezi.
 
Ushauri mzuri sana ,bado ana umri mdogo ,afanye kama ulimvyomshauri ,kwa umri wake 2024 bado atakuwa kwenye peak hivyo team inayomuhitaji itamchukua kama free agent.....Kuwekeana ligi na yanga anayepoteza ni yeye wala si yanga....Yanga wameshika mpini yeye ameshika kwenye makali.
Hiyo 2024 anajuaje kuwa atakuwa kwenye peak? Pesa kawekewa mezani sasa hivi, mlango umefunguka kwann aufunge kwa matumaini kuwa atakuwa kwenye peak? Akipata majeraha?

Fei atakuwa fala endapo hichi alichokifanya hakijaacha akaunti yake ikiwa imenona, kinyume na hapo yupo sawa kabisa. Timu za mpira hazikujali zinajali kiwango chako na kiwango siyo guarantee kuwa lazima kiwe kizuri zaidi miaka miwili ijayo.
 
Hiyo 2024 anajuaje kuwa atakuwa kwenye peak? Pesa kawekewa mezani sasa hivi, mlango umefunguka kwann aufunge kwa matumaini kuwa atakuwa kwenye peak? Akipata majeraha? Fei atakuwa fala endapo hichi alichokifanya hakijaacha akaunti yake ikiwa imenona, kinyume na hapo yupo sawa kabisa. Timu za mpira hazikujali zinajali kiwango chako na kiwango siyo guarantee kuwa lazima kiwe kizuri zaidi miaka miwili ijayo.

Afuate procedure mkuu...yanga wameshasema kama kuna timu inamtaka waweke mzigo mezani "mita mia inne" wasepe naye.
 
Hiyo 2024 anajuaje kuwa atakuwa kwenye peak? Pesa kawekewa mezani sasa hivi, mlango umefunguka kwann aufunge kwa matumaini kuwa atakuwa kwenye peak? Akipata majeraha? Fei atakuwa fala endapo hichi alichokifanya hakijaacha akaunti yake ikiwa imenona, kinyume na hapo yupo sawa kabisa. Timu za mpira hazikujali zinajali kiwango chako na kiwango siyo guarantee kuwa lazima kiwe kizuri zaidi miaka miwili ijayo.
Hujielewi, una maanisha Feisal hana kipaji ana bahatisha huwezi sema eti unajuaje kama atakua kwenye form basi ange sign mkataba wa mwaka mmoja na kesi ya majeraha haina guarantee unaongea vitu havina sense
 
Wewe una uchungu na Yanga yako, Fei ana uchungu na maslahi yake, Viongozi wa yanga nao wana uchungu wa kutofatwa taratibu. Kila mmoja apiganie uchungu wake mpaka ajifungue.

Ww unauhakika upi kuwa mwakani wanaomhitaji Fei wataendelea kumuhitaji na kwa thamani hiyo hiyo? Yeye kaamua anataka sasa hivi sio baadae unazijua sababu zake?
 
Kwani kawaambia anaishi kwa shida? Mnatumia geresha ya kumuonea huruma wakati yeye hana hata habari na nyie. Kama mnamuonea huruma, ongezeni mshahara wake maana ameshawaambia ana majukumu mengi ya kifamilia na mshahara mnaomlipa hautoshi. Kama hamuwezi, kaeni kimya.
Sasa huo mshahara ataongezewa huku akiwa mafichoni Kiembe samaki? Arudi kwanza kambini.
 
Wanasema tatizo ni kuwa kiwango chake cha mpira kinapungua, baada ya kuona mechi aliyocheza. Hawa wanajaribu kumuhusia kuwa akikaa nje ya uwanja muda mrefu mpira kwake itakuwa ni historia. Au siyo Tate Mkuu
Naam! 🙏 Tena kwa nia njema kabisa.
 
Yeye ndo anajua kipi chenye maslahi kwake. Tusilazimishe kuwa maslahi yatapatikana akivumilia mshahara wa m4. Huenda mda huu kwa hili alilofanya ana fedha za kutosha tu licha ya kwamba hachezi.
"Huenda mda huu kwa hili alilofanya ana fedha za kutosha tu licha ya kwamba hachezi"

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hiki ulichoakiandika hapa.
 
Back
Top Bottom