Ushauri wa bure kwa TBWAY 360 wa EATV

[emoji1] nimecheka hapo uliposema wahuni wakumpeleka leaders club akiwa kwenye box wapo wengi.
 
Umasikini ni mbaya ila kibongo bongo anaonekana ametoboa kiaina na Subaru Legacy yake ya 2000's afu automatic na yeye anajiona CAR ENTHUSIAST,hahah
 
hivi kumbe bado nae ni mtangazaji, nlishaacha kumfatilia mda sana baada ya kuona anacopy swagga
 
Hivi hawa watu wasiojulikana aka watekaji kwanini wasiziondoe taka ka hizi mjini...

Nimeiona clip yake alipovamia ofisi ya tigo akitukana wale staff...

Mpuuzi sana kijana huyu. Hivi hajui kama wanaweza mfunga kwa matusi yale...

Mpumbav sana.
Hahahaha! eti taka.
 
hata mm ngeshoboka tuu... nione wowowo mbele yng afu nnajikubali kwnn nsiwe na shobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…