CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Habari wakuuu.
Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu.
Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua;
Ubingwa wa Ngao ya Jamii
Kombe la Azam Sport
Ligi Kuu ya NBC
Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya hivi 2013 na miaka ya nyuma.
1. Msimu jana yanga walikuwa kwenye matengenezo ya timu yao, cha kushangaza na kustaajabisha MVP wa msimu uliyopita Yaniki Bangala aliyekuwa akicheza namba 6, kiungo wa ulinzi CDM, mkabaji n.k amehamishwa kutoka sehemu iliyompa kuwa mchezaji bora, yaani kiungo na kupelekwa nafasi ya beki wa kati.
2. Kosa la pili ni usajili wa wachezaji wengi mzimu huu kama Kambole, Kisinda, Morison, Bigilimana, Azizi Ki. Usajili huu haujafanyika kiufundi, umefanyika kisiasa, ki mihemuko ,janja janja na uhuni wa kishamba. Wachezaji wote hapo hawana msaada kwa Yanga.
3. Kumtegemea mchezaji mmoja tu: Yanga imepatwa na tatizo kubwa sana la kumtegemea mchezaji mmoja tuu Fiston Mayele. Fiston anataka afunge yeye, ashangilie yeye, acheze na jukwaa yeye. Hili tatizo limempelekea kupoteza nafasi nyingi sana za wazi.
4. Matatizo ya kiuongozi ambayo yako ndani ya uongozi; Manara, Senzo, Kamwe, Bumbuli, Privatus n.k.
5. Suluhisho;
i. Yanga imrudishe Bangala kiungo wa ulinzi.
ii. Yanga itafute beki wa kati mmoja.
iii. Yanga inatakiwa ipate mbadala mwenye ushindani na Mayele.
iv. Azizi ki, Kisinda, Morison, Bigilimana, Moloko, Makambo hawana msaada wowote.
NYUMA MWIKO MBELE MWIKO.
KESHO NJE.