Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

Ila mbumbumbu bwana, kuwafunga de agosto ndio mnajiona wa maana sana, yaani ndio wakali wa kimataifa sio? Huyo de agosto alipigwa na namungo 6.
Mtaenda makundi, aibu tutaona watanzania.
We kumfunga zalan mechi zote kwa mkapa ndo ukajiona ushaingia makundi,na ukiludi mchangani unakutana na pyramid shilikisho
 
Mmecheza na wahadzabe mechi zote dar mkajiona watabe hata watu walivyojaribu kusema ile ni team mbovu mliiona wanawadanganya sasa huu mwanzo tu show haijaanza na mnabahati mmekutuna na zalan mechi ya kwanza mngekutana na de agosto au nyasa big bullets mngekua mpo kigamboni mda huu mnavua samaki.
Ona uyu tahaira naye kwaiyo big bullets na hao Ihefu wa angola ndo unaona umekutana na timu za kutisha? De agosto na big bullets wana tofauti gani na ihefu? Mnakuwa na maneno meeengi kama wauza karanga wakati mmekutana na nyambore!
 
Ona uyu tahaira naye kwaiyo big bullets na hao Ihefu wa angola ndo unaona umekutana na timu za kutisha? De agosto na big bullets wana tofauti gani na ihefu? Mnakuwa na maneno meeengi kama wauza karanga wakati mmekutana na nyambore!
Kweli kabisa team ni zalan waliokuja na pick up team hata uwanja haina ndo ufananishe na de agosto na nyasa big bullets kweli yanga wenye akili ni wawili tu
 
Kweli kabisa team ni zalan waliokuja na pick up team hata uwanja haina ndo ufananishe na de agosto na nyasa big bullets kweli yanga wenye akili ni wawili tu
Zalan sio team mkuu. Ni kikundi Cha wapanda ngamia
 
Habari wakuuu.

Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu.

Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua;
Ubingwa wa Ngao ya Jamii
Kombe la Azam Sport
Ligi Kuu ya NBC

Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya hivi 2013 na miaka ya nyuma.

1. Msimu jana yanga walikuwa kwenye matengenezo ya timu yao, cha kushangaza na kustaajabisha MVP wa msimu uliyopita Yaniki Bangala aliyekuwa akicheza namba 6, kiungo wa ulinzi CDM, mkabaji n.k amehamishwa kutoka sehemu iliyompa kuwa mchezaji bora, yaani kiungo na kupelekwa nafasi ya beki wa kati.

2. Kosa la pili ni usajili wa wachezaji wengi mzimu huu kama Kambole, Kisinda, Morison, Bigilimana, Azizi Ki. Usajili huu haujafanyika kiufundi, umefanyika kisiasa, ki mihemuko ,janja janja na uhuni wa kishamba. Wachezaji wote hapo hawana msaada kwa Yanga.

3. Kumtegemea mchezaji mmoja tu: Yanga imepatwa na tatizo kubwa sana la kumtegemea mchezaji mmoja tuu Fiston Mayele. Fiston anataka afunge yeye, ashangilie yeye, acheze na jukwaa yeye. Hili tatizo limempelekea kupoteza nafasi nyingi sana za wazi.

4. Matatizo ya kiuongozi ambayo yako ndani ya uongozi; Manara, Senzo, Kamwe, Bumbuli, Privatus n.k.

5. Suluhisho;
i. Yanga imrudishe Bangala kiungo wa ulinzi.
ii. Yanga itafute beki wa kati mmoja.
iii. Yanga inatakiwa ipate mbadala mwenye ushindani na Mayele.
iv. Azizi ki, Kisinda, Morison, Bigilimana, Moloko, Makambo hawana msaada wowote.

NYUMA MWIKO MBELE MWIKO.
KESHO NJE.
Labda bigirimana na kambole lkn wengine hao ni silaha muhimu za vita

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mmecheza na wahadzabe mechi zote dar mkajiona watabe hata watu walivyojaribu kusema ile ni team mbovu mliiona wanawadanganya sasa huu mwanzo tu show haijaanza na mnabahati mmekutuna na zalan mechi ya kwanza mngekutana na de agosto au nyasa big bullets mngekua mpo kigamboni mda huu mnavua samaki.
De agosto alipigwa 6 na namungo
 
Mbumbumbu akili zenu ni sawa na za inzi wa chooni kabisa, Unaweza kuniambia nyie usajili wenu wote umeklick? Ujui suala la usajili ni kama kamari? Unaweza kumsajili mchezaji ambae ni moto kwenye ligi yake lakini akashindwa kuclick kwenye ligi yako na pia unaweza kusajili mchezaji wa kawaida na akaclick kwenye ligi husika unalijua hilo? Unawalaumu yanga kwani ni asilimia ngapi ya usajili waliofanya aujawalipa? Nyie mbona amjisemi kina okwa, akpan, dejan, wamefanya nini mpaka sasa? Ukija kwenye uongozi unaousema yanga ndio timu yenye uongozi ambao uko stable na umenyooka kama rula unalinganishaje na uongozi wa makolo ulioparanganyika kila kona? Ndio maana rage aliwaita mbumbumbu, litimu lenu lina matatizo kibao badala ya kupeleka ushauri uko eti unawashauri yanga una akili sawasawa kweli wewe?
Mpaka Sasa hao unaowasema wamesaidia maana wapo kwenye squad Na Hadi Sasa tunaongoza ligi Na pia champions league tumetanguliza mguu mmoja ndani

Fact Ni kwamba nyie yanga pamoja Na kuwa ety mlikuwa mabingwa unbeaten lkn Kuna mechi ya kwanza nyie Na namungo Ile mechi mlikaa Basi tu kwa sababu ya marefa wanaochezesha kwa maelekezo ndo ikawa hivyo mechi Na ruvu mzunguko wa pili ok anyway tuache hayo.

Nyie Kuna mtu nilimwambia mapema huwezi kwenda Na center half zile ambazo kila siku zinaigharimu timu namaanisha Job Na mwamnyeto kimataifa leo mnamlazimisha nabi amludishe bangala acheze kiungo halaf nondo Na Job ndo ziwe beki mnafungwa goli c chini ya 3 Yule anajaribu kubalance timu

Kingne nyie mlipokosea baada ya kusajili beki za Kati mbili halafu Na forward mmoja kwa ajili ya kumpa changamoto anaetemesha manyonyo Kama wanawake wa kizaramo nyie mkasajili wachezaji walioifunga Simba Ila c kwa mahitaji yenu Ila kwa kila la kheri kwa niaba ya watoto wangu
 
Bigilimana amechezea ligi ya uingereza....n fundi hatari...aziza key aliwafunga Simba mara mbl....
Morrison altushnda CAS Ili kulpa kisas lazma asajiliwe tena..
Inahtaj nn tena???
 
Ila mbumbumbu bwana, kuwafunga de agosto ndio mnajiona wa maana sana, yaani ndio wakali wa kimataifa sio? Huyo de agosto alipigwa na namungo 6.
Mtaenda makundi, aibu tutaona watanzania.
Reference za kijinga kutoka kwa wajinga, mlisema Al hilal kwa kuwa walifungwa na Simba 4, mtajipigia kama ngoma kwa kuwa mliifunga Simba, matokeo yake mnashindwa kuliongelea hilo,kweli nyie nyuma mna mwiko
 
Back
Top Bottom