1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku!
2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama:
Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote!
"Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!"
3. Aanzishe vita kamili dhidi ya CCM kurejesha mali zote za wananchi ilizojimilikisha kinyemela. Mfano CCM ilijenga lini vikiwamo viwanja vya Mpira Kirumba, nk?
4. Aangilie safu ya kueleweka "kumaanisha no, election no reforms" kwa maana yake halisi.
Naam:
"Mbona safari yetu kuelekea 'Canaan' kunako nchi ya maziwa na asali, ndiyo inaanza kunukia?"
Kumbe Mungu atupe nini tena Yarabi?
"Freeman Aikaeli Mbowe - fungua njia, kitoto chaanza tambaa .. ! 🎼🎵" -- King Kikki Kikumbi Mwanza Mpango (rip).