- Thread starter
- #21
Simba na Yanga hujui kila mmoja ana bilionea wake?
Hatuwahitaji mabilionea uchwara kufanikisha ukombozi wetu.
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!
Labda hai unaowaita mabilionea wako, huko kwenye Forbes wanayo nafasi gani hum ndugu?
SI kuwa hai ni matapeli tapeli wenye kujipatia vipesa vya Abduli na kutuibia ruzuku, pesa za CDM digital, na michango ya wananchi?
Anayejitolea vipi kudai alikikopesha chama?
Hawa wengineo mbona ni vibaka tu kama wowote wa kuku na huenda ndiyo maana hata kung'atuka imekuwa mtihani?
Aling'atuka Biden sembuse huyu anayesubiri kufurushwa kwenye ballots?