Simba na Yanga hujui kila mmoja ana bilionea wake?
Haya atafanya akipata uraisi mzee baba
Hoja MURUA kabisa, na hasa ruzuku zifutwe kabisa kabisaaa.1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku!
2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama:
View attachment 3202766
Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote!
Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo itapendeza zaidi
3. Aanzishe vita kamili dhidi ya CCM kurejesha mali zote za wananchi ilizojimilikisha kinyemela. Mfano CCM ilijenga lini vikiwamo viwanja vya Mpira Kirumba, nk?
4. Aangilie safu ya kueleweka "kumaanisha no, election no reforms" kwa maana yake halisi.
Naam:
"Mbona safari yetu kuelekea 'Canaan' kunako nchi ya maziwa na asali, ndiyo inaanza kunukia?"
Kumbe Mungu atupe nini tena Yarabi?
"Freeman Aikaeli Mbowe - fungua njia, kitoto chaanza tambaa .. ! πΌπ΅" -- King Kikki Mwanza Mpango (rip).
kwahiyo hapo ndipo,
kibaraka ndio anatibiwa kichefuchefu sio gentleman?
Je, utajitokeza kwenye maandamano barabarani? Au unaishia kutoa maelekezo kwa keyboard tu?
1. Tundu Lissu...dereva1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku!
2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama:
View attachment 3202766
Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote!
Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo itapendeza zaidi
3. Aanzishe vita kamili dhidi ya CCM kurejesha mali zote za wananchi ilizojimilikisha kinyemela. Mfano CCM ilijenga lini vikiwamo viwanja vya Mpira Kirumba, nk?
4. Aangilie safu ya kueleweka "kumaanisha no, election no reforms" kwa maana yake halisi.
Naam:
"Mbona safari yetu kuelekea 'Canaan' kunako nchi ya maziwa na asali, ndiyo inaanza kunukia?"
Kumbe Mungu atupe nini tena Yarabi?
"Freeman Aikaeli Mbowe - fungua njia, kitoto chaanza tambaa .. ! πΌπ΅" -- King Kikki Mwanza Mpango (rip).
Ee bwana eeeAkiita yule mwamba wa CCM iko hivi:
View attachment 3202845
Alipo Lissu, wabangaizaji tupo:
View attachment 3202846
Habari ndiyo hiyo!
1. Tundu Lissu...dereva
2. Heche....dereva msaidizi
3. Lema. ...Mpishi
Mbona kutachimbika?
π€£π€£π€£π€£π€£Hebu Linganisha na hii inayopigiwa chapuo na ma ena wafuasi wao hapa:
View attachment 3202856
1. Mwamba...dereva
2. Wenje....dereva msaidizi
3. Yai. ...Mpishi
4. Sugu
5. Yeriko
6. Ntobi
7. MMW
View attachment 3202869
Erythrocytes, JokaKuu, Retire'd, Fortilo, Tlaatlaah, imhotep, Mshana Jnr, Alen Kilewela, binti kiziwi, Fortilo waliomo na wasiokuwamo au nasema uongo?
π€£π€£π€£π€£π€£
Aibu sana.
Tatizo atawaambia nini waliomtuma na kumuwezeshaπ€£π€£π€£
Wabangaizaji oyeeee, mdogomdogo tutafika.Mbowe alilipiwa faini ya milioni 70 na wabangaizaji, kasahauAda Kwa wanachama?
Hilo mbona jambo la hiari?
Michango iko Simba na Yanga, sembuse kutoka kwa wabangaizaji waliodhamiria kujikomboa?
View attachment 3202804
Akwendreee yeyote anayejiona tajiri aione nguvu ya wabangaizaji na asishangae kuwa huendq tunazo rasilimali nyingi zaidi kuliko hata yeye!
Kwani huyu ndugu yeye ni nani, wapi? Kwani yeye ndiye Elon Musk au Bill Gates? Au kwenye Forbes anashika namba gani?
Bure kabisa!
mpe pole sana, maradhi kwa binadamu ni kawaida tu πImeenda hiyo
Kweli apite kwanzaNdiko tunakoelekea, ila hata hili la chawa CDM ambako ni kipaumbele?
Hata kupiga kelele? Kutengeneza timu sahihi ya mambano nako pia?!
CCM mnajua wazi kuwa CHAMA chini ya Lissu kitageuka kuwa kikundi cha kiharakati mtakachoweza kukidhibiti kirahisi.Kwamba aina za kina Fortilo, Erythrocyte's, fazili, LIKUDi na wenzao bongo zime shutdown hata kufikiria kama binadamu wamegoma, kama vipi uhayawani wa kina Tlaatlaah acha uchukue nafasi yake?
Kwamba kipi wenzetu Hawa hawaoni hapo?
Bure kabisa!
CCM mnajua wazi kuwa CHAMA chini ya Lissu kitageuka kuwa kikundi cha kiharakati mtakachoweza kukidhibiti kirahisi.
Unatapatapa sanakwahiyo hapo ndipo,
kibaraka ndio anatibiwa kichefuchefu sio gentleman?
elezea wadau bas hiyo picha ya Kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi anatibiwa ama niaje?πUnatapatapa sana
elezea wadau bas hiyo picha ya Kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi anatibiwa ama niaje?π
ameruhusiwa sio kwenda kujiuguza nyumbani?Ninakazia :
Imeenda hiyo!