Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

Alikuwa Raisi wa TLS nini cha maana au mabadiliko gani aliyafanya.
 
Naomba kujuzwa ruzuku inatolewa kwa misingi gani?

Tatizo ni kuwa tumekuwa hatuna vyama vya upinzani zaidi ya wapinzani maslahi.

Kulikoni wasiokuwamo kuchangia vyama? Kulikoni kodi ya asiye mwana CCM kwenda CCM kwa sababu yoyote Ile?

Utararibu huu haufai na haukubaliki.

Tatizo, vipi wajasilia siasa kuupinga?

Umekaa kama zile posho na marupurupu bungeni ambako CCM na upinzani maslahi huwa lao moja!
 
Nilikuwa nataka formula.
 
Alikuwa Raisi wa TLS nini cha maana au mabadiliko gani aliyafanya.

Kwani wewe ni mjumbe TLS kujua hakufanya jambo? Au weye ulitaka afanye lipi labda hata kama jiwe angekuwa kizingiti?
 
Natabiri Lisu akishinda chadema itavurugukia pakubwa sana hao ambao leo wanasema ni marafiki wa Lisu watagombana nae wote kwasababu ya misimamo yake Lisu hana tofauti na Magufuli. Mbowe kwa busara ajitenge na siasa kwa muda awaachii tu siku wenyewe watasema bora Mbowe.
 
Natabiri Lisu akishinda chadema itavurugukia pakubwa sana hao ambao leo wanasema ni marafiki wa Lisu watagombana nae wote kwasababu ya misimamo yake Lisu hana tofauti na Magufuli.

Kwani wewe ni nabii Tito?

Hebu tabiri hii, tuone kama utapatia:

"Vipi mwamba atatokea mdahalo?"
 
Lisu alinusurika kuuwawa ili atimize mpango wa Mungu kulikomboa taifa dhidi ya mafisadi wa Ccm.
 
Chama gani braza? Labda Chama wa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…