Nyama Mapandikizi vipo vingi mno... lakini safari hii watu wameshasema kama mbwai....Hivyo vyama vingine vya upinzani baadhi ni mapaka shume ya ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyama Mapandikizi vipo vingi mno... lakini safari hii watu wameshasema kama mbwai....Hivyo vyama vingine vya upinzani baadhi ni mapaka shume ya ccm
kaka, wacha data zikusanywe ndani ya siku hizi mbili.... kama madudu hayarekebishiki basi inakuwa team utopolo... kuanza upya si ujinga.TUME IVUNJWE IUNDWE TUME INAYO JUMUISHA VYAMA VYOTE VILIVYOSAJILIWA TANZANIA
MiCCM ni mijitu mitutusa na mipuuzi sana. Kama kweli imefanya mambo yanayoonekana kwa wananchi, inahangaika nini kuiba kura? Mipuuzi mikubwa!Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...
Mnyika anapambana sana kurekebisha hayaKufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...
Chadema mmesikia ? Fanyieni kazi ushauri huu na mufanye tuwaone online TVKufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...
Unapumuliwa kisogoni nahisi tulieni dawa iwa penye 28Watu waanza Kumkana Lissu[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787] Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.
Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo,anapinga kila kitu[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
HakikaWacha nikose Maji na vituo vya afya, lakini sitakaa nimpigie magoti mungumtu. Ila yeye aendelee kula kodi yangu na familia yake, iko siku ataitapika!
Poleni wapinzani
Hivi kweli mlitegemea uchaguzi huru kutoka tume hii...
🤡Watu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.
Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo,anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Swala sio kuridhika au kutokuridhikaMkuu dalili zote zinaonyesha kuwa umeridhika na dhuluma ndio maana umekuja na kauli hii.
Kwahiyo Mkuu unatarajia mambo yanabadilika kwa kukaa pembeni ukiomba wakupe utakacho?Swala sio kuridhika au kutokuridhika
Swala ni uhalisia...
Nani mwenye akili timamu anaweza kupeleka timu yake ya Soka kucheza fainali za kombe la dunia huku akijua muamuzi ni mchezaji wa timu pinzani???
Labda TUNDU LISSU
Muda na pesa nyingi sana wametumia kwa kampeni huku wakijua hii ni Impossible Mission!!Kwahiyo Mkuu unatarajia mambo yanabadilika kwa kukaa pembeni ukiomba wakupe utakacho?
Nawaona chama CDM lialia wazee wa ku predict katika ubora wenu. Mwaka huu mtanyooshwa kimbunga cha kutisha.CCM bado wanatumia mbinu za kizamanii... hawabadiliki.
Kinachoonekana NEC na ZEC wanakwenda kuaibika mno mbele ya macho ya watanzania... ndiyo maana hata kutoa daftari la kudumu kwa vyama vya siasa ambao ndiyo wadau wakuu wa uchaguzi ilikuwa kwa mbinde.
Uko nje gani ambayo haina exposure kiasi hicho? Hujui kupitia kampeni hizi hizi kuna mwanamko mbadala elimu ya uraia ambayo kimsingi hatuna? Hujui kupitia kampeni hizi hizi imeimarisha msingi wa vyama pinzani na uelewa wa mambo kwa wananchi yaliyokuwa hayajulikani na raia wa Tanzania hivyo ni fursa kuweza kudhibiti serikali inapo enda kinyume na taratibu tulizo jiwekea ?Safi Sana ila wapinzani wa Tanzania ni wapuuzi Sana
Hata mimi ni Mtanzania japokua naishi abroad
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kwenda kushindana masumbwi na mtu huyo huyo Ndio ref?
Sasa wapinzani wanalia nini
Waambie wapeleke ujinga mbali wamepotezea Watanzania muda kwenye kampeni Bure bure!!!
I hate oppositions leaders in the country I call home [emoji24][emoji24][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Hiyo tume unaidai huku wenzio wakitumia nguvu zote kusema umejua huwezi kushinda ndio maana unasema unataka tume huru. Kumbuka propaganda iliyofanywa miaka hii mitano kuwa upinzani umekufa.Muda na pesa nyingi sana wametumia kwa kampeni huku wakijua hii ni Impossible Mission!!
Kuliko kampeni ilikua ni kushinikiza Tume huru
Acha utani wewe unafikiri watu wanaposema CCM chama kikubwa maana yake nini? Utambue CCM hawafanyi kampeni tu bali wanasherehekea mafanikio ya miaka mitano ya uongozi wa JPM ndio sababu unaona burudani kwa wingi.Sasa hao watoto mmewaleta hapo mkutanoni kwa nini? wanahitajika kuwa darasani wao na walimu wao - tatizo lenu ni nini ??