Kichafue uone watu watakavyokupumulia kisogoni boya wewe.
Hiyo tume unaidai huku wenzio wakitumia nguvu zote kusema umejua huwezi kushinda ndio maana unasema unataka tume huru. Kumbuka propaganda iliyofanywa miaka hii mitano kuwa upinzani umekufa. Sasa upewe tume huru huku wenzio wanaaminisha umma kuwa upinzani umekufa? Huku kushiriki hakuna anayetaka, ila hakuna njia nyingine zaidi ya kushiriki na kuleta machafuko ili kieleweke. Mkuu hakuna uwezekano wa kupata tume huru bila machafuko kwa mazingira yetu.