Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Pole Wapinzani maana wengine wataendelea kuendesha Mavi 8Sasa hapa unawapa pole wapinzani au wa-Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Wapinzani maana wengine wataendelea kuendesha Mavi 8Sasa hapa unawapa pole wapinzani au wa-Tanzania?
Ulimwona mwenyekiti wa CCM wilaya ya Karatu? Amejisalimisha,, nini maana yake?Watu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.
Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo, anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Eeenh, wewe ni DAKTARI wa majitu gani?Watu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.
Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo, anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Wewe vipi? Au niulize NINYI VIPI? Ninyi wana CHADEMA ndio mmegundua wapiga kura hewa na vituo vya kupigiakura hewa! Lakini sasa kwa akili za ajabu mnawataka Mwenyekiti wa NEC na Mkurugenzi wa NEC walete ushahidi!?
Hili ni la ajabu sana, ninyi ndio walalamikaji lakini mnamtaka MLALAMIKIWA ndio eti alete "vivid evidence". It is for you, the aggrieved party to prove the presence of "ghost voters and ghost voting stations". Acheni utoto au Bob Amsterdam hakuwaelekeza vizuri nini cha kusema!?
Hata kuandika "mall" hujui.Watu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.
Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo, anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Sio Kila Kitu lazima Uchangie, na Usiishi kwa kulili ile inaitwa ROCK CITY MORE....Mnakurupuka sana BAVICHA😂🤣😂🤣🤣🤣Hata kuandika "mall" hujui.
Mpe hongera huyo mjumbeWatu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.
Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo, anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Approach wanayotumia kuidai haiwezi kuwafanya waipate ni sawa na kondoo kumuomba fisi amuachie mwanaye.Wewe ni mgeni katika nji hii?
Wapinzani wadai Tume Huru mara ngapi? CCM walikataa Katiba Mpya na wamekataa Tume Huru...what do you expect?
Usiwe mjinga bwana, inachofanya hii tume ni kudhoofisha ukuaji wa demokrasia katika nchi hii.WATAJUA WENYEWE ingawa ni Tume hii hii amabayo imekuwa ikiwapeleka Bungeni miaka nenda miaka rudi.
Where do elites get that time to waste!? Let the aggrieved parties prove that and not the NEC people, they do not that time to waste, UNLESS the Courts of Law demand it, but not from hearsays!Tatizo la MafisiCCM ni kukurupuka.
Jitu halijaelewa mada limeshadandia bila tafakuri! Pambaf!
What I am saying is Mwenyekiti& Mkurugenzi-NEC wanatakiwa kuleta Ushahidi wa KUTHIBITISHA kuwa there're no ghost voters or ghost voting stations to prove CHADEMA wrong. Wakti huohuo CHADEMA na vyama vingine nao walete Ushahidi wao wenye KUTHIBITISHA kuwa there're GHOST VOTERS as well as GHOST VOTING STATIONS. Ndipo watu wenye akili timamu wajue who is right and who's wrong!!Umeelewa ewe nzi wa KIJANI?
Jamii ForumsTungekuwa tunakutana Ulingoni tungetakiwa kuwa na Ambulances za kutoshaa hahahaWhere do elites get that time to waste!? Let the aggrieved parties prove that and not the NEC people, they do not that time to waste, UNLESS the Courts of Law demand it, but not from hearsays!
I am very sorry siwezi kuendelea kulumbana na wewe on this, wana JF wengine wanaofahamu michango wangu humu watanishangaa! I am very sorry, binafsi naachana nawe on this, kwani naona unataka kuingia kwenye ulingo wa matusi!Usiwe mjinga bwana, inachofanya hii tume ni kudhoofisha ukuaji wa demokrasia katika nchi hii.
Wapinzani wakipata wabunge 100 tume itawapa wabunge 30 tu na ndio hao unaowaongelea. Tume inawadhulumu hao wengine 70 kwa amri ya rais.
Ushabiki wa vyama unawafanya mjifanye hamuoni kilicho dhahiri. Ccm ni dhuluma tu hawana lolote hao.Kwa kweli
I am very sorry siwezi kuendelea kulumbana na wewe on this, wana JF wengine wanaofahamu michango wangu humu watanishangaa! I am very sorry, binafsi naachana nawe on this, kwani naona unataka kuingia kwenye ulingo wa matusi!
Nimeona video moja gari limezuiliwa likiwa na masunduku ya kupigia kura yenye kura ndani tayari wanadai ni mahindi 😀Na wakizikamata kura feki ambazo zina safirishwa bora wazipige moto wasiende nazo polisi
Hahahaha ivi Wanaposema Sasa Basi wanakuwa na Maana gani Bila ActionAibu sana hii kwa nchi huru
Naweza kuiona hiyo video?Nimeona video moja gari limezuiliwa likiwa na masunduku ya kupigia kura yenye kura ndani tayari wanadai ni mahindi 😀
Nimeulizia nimeambiwa kumbe ya 2005 bana 😀 Niliiona kwa mtu nikiwa kwenye daladala aliuonesha.Naweza kuiona hiyo video?
Angalia huyu takataka, yani jamaa yako huyo unajumuisha watu wote..acha ufala nduguWatu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.