Uchaguzi 2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

Uchaguzi 2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

Ushabiki wa vyama unawafanya mjifanye hamuoni kilicho dhahiri. Ccm ni dhuluma tu hawana lolote hao.
Haya nayo ni mawazo yako na ni haki yako kusema na kuandika lolote kwani ni haki yako na unatumia uhuru wako.
 
Wewe vipi? Au niulize NINYI VIPI? Ninyi wana CHADEMA ndio mmegundua wapiga kura hewa na vituo vya kupigiakura hewa! Lakini sasa kwa akili za ajabu mnawataka Mwenyekiti wa NEC na Mkurugenzi wa NEC walete ushahidi!?

Hili ni la ajabu sana, ninyi ndio walalamikaji lakini mnamtaka MLALAMIKIWA ndio eti alete "vivid evidence". It is for you, the aggrieved party to prove the presence of "ghost voters and ghost voting stations". Acheni utoto au Bob Amsterdam hakuwaelekeza vizuri nini cha kusema!?
Huo ndio ukweli wenyewe na hakuna wa TimuLissu atakaye ukubali and that is not my business!
 
MiCCM ni mijitu mitutusa na mipuuzi sana. Kama kweli imefanya mambo yanayoonekana kwa wananchi, inahangaika nini kuiba kura? Mipuuzi mikubwa!
ccm inashinda kihalali mkuu chagua magufuli mitano tena
 
Watu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.

Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo, anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Ndoto za jioni jioni hizi.
 
ccm inashinda kihalali mkuu chagua magufuli mitano tena
Nimchague mwizi aliyekwapua Tsh trilioni 1.8 kisha akamfukuza CAG baada ya kuugundua wizi wake? Sina unasaba na wezi mimi.
 
Heri kuwa kipofu wa macho mwili kuliko kipofu wa fikra. Uwe hivyo hivyo kama fikra zako zinavyojieleza. Watanzania tunasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.

unawezakuta anaesema hivi ni mfanyakazi aliyeahidiwa kuongezwa mshahara miaka mitano iliyopita
 
Nimchague mwizi aliyekwapua Tsh trilioni 1.8 kisha akamfukuza CAG baada ya kuugundua wizi wake? Sina unasaba na wezi mimi.
mkuu zile pesa zimetumika kijeshi na bajeti ya jeshi huwa haiwekwi hadharani mkuu chagua magufuli mitano tena
 
Back
Top Bottom