Uchaguzi 2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

Kichafue uone watu watakavyokupumulia kisogoni boya wewe.
 
Hii hoja yenu ya 'anapinga kila kitu' ni ya kipumbavu kweli kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani mfano anawauliza wananchi kutambulisho cha mmachinga kina picha ya utambulisho? Jina? Mwaka wa kuzaliwa? Je walipolipa elfu 20 walipewa risiti ya mashine kujua pesa imeingia serikalini? Je wanaweza kupata mikopo na hivyo vitambulisho kama inavyosemwa? Sasa hizo si ni hoja za msingi? Kwa nini zisijibiwe kwa hoja???
 
Kichafue uone watu watakavyokupumulia kisogoni boya wewe.
Mbinu zenu zote chafu tumezikaba mwaka huu wapuuzi nyie, tunaingia kwenye uchaguzi kwaajili ya kupata justification ya kukinukisha tu ili mambo yote yarudi kwenye equilibrium. Puumbavu zenu
 
Umejiunga juzi hapa jukwaani kuja kuleta vitisho? Mtacheka kichina safari hii.
Hatishwi mtu hapo hiyo fact, Ila vitisho umevileta wewe kwenye coment yako uliposema "mtakichafua" unamtisha nani ambaye anaogopa kuchafuka? Ova.
 
Hivyo vyama vingine vya upinzani baadhi ni mapaka shume ya ccm

Kweli tupu.
Ndo maana kina Lyatonga a.k.a Mzee wa Kiraracha, Pro-fedha Li-pumbu wa Chama CHAKAVU, Mzee wa Ubwabwa na yule Mbatia Mzee wa NCCR Migeuko wako kimya na wakti mwingine wanailaumu CHADEMA.....!!
 
Sio wengi wenye kujua Hilo tu Ndio suluhisho kwa miaka mingi Tanzania imekua na amani Bandia
 
CCM ni sawa kabisa mwanafunzi anayeingia ndani ya mtihani na majibu ya kukopi (honda)! Kelele nyiiingi, kumbe walishapakia vituo hewa kura milioni 5 !

Na papo hapo ukasukwa mchezo mwingine, wanafunzi wa sekondari nao wachomekwe kupiga kura! Ndo maana wanasukuma watu kutoa tafiti eti ushindi wa 80%, Kumbe kuna mauzauza kibao wameshaweka kwenye mishipi yao!

Binafsi naona tufike mahala hizi chaguzi zetu katika nchi za Afrika ziwe zinasimamiwa na kuendeshwa na wasimamizi wa kimataifa , wasije tu kuangalia bali wao ndio wahesabu kura na kutoa matokeo, maana kwa hakika sisi tumeshindwa kujismamia kwa kwa haki! Kinachofanyika ni kiinimacho tu ndo mana tumeanza kuwatia hofu waangalizi, CCM wana hofia kurpotiwa mauzauza yao!
 
Hayo sio malengo ya kufanya kampeni
Malengo ya kufanya kampeni ni kupata ridhaa ya wananchi kuongoza nchi.....
Kama ingekua ni kwa ajili ya kufundisha elimu ya uraia wapinzani wangefanya seminars ilikua inatosha
Kwa akili ya kawaida tu
Je wewe unaweza kupeleka timu yako ya soccer kwenye mashindano ya world cup final huku ukijua referees are in your opponents team?
Labda TUNDU LISSU anaweza lakini wewe Huwezi kukubali
 
Bashite
 
Kisasa secondari -Dodoma na Mkolani Secondary (Mwanza) ni vituo Bandia wanafunzi wamewekewa wapigie CCM.

Chadema fuatilieni
 
Kisasa secondari -Dodoma na Mkolani Secondary (Mwanza) ni vituo Bandia wanafunzi wamewekewa wapigie CCM.

Chadema fuatilieni
Mnaposema vituo bandia ni nini hasa wekeni tafsiri sahihi ili msiwaweke wananchi katika Hali ya sinto fahamu kwa uboya wenu. Maana time wamesema kuna vituo elfu80 nchi nzima. Sasa hivyo hewa vimeongezeka kuwa laki na zaidi au havina wapiga kura au ninini hapo wekeni mambo sawa na taarifa sahihi. Isijekuwa ni ile mwendelezo wenu wa kulialia kama kawaida maana Magu amewashika pasiposhikika.
 
Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...
Wewe vipi? Au niulize NINYI VIPI? Ninyi wana CHADEMA ndio mmegundua wapiga kura hewa na vituo vya kupigiakura hewa! Lakini sasa kwa akili za ajabu mnawataka Mwenyekiti wa NEC na Mkurugenzi wa NEC walete ushahidi!?

Hili ni la ajabu sana, ninyi ndio walalamikaji lakini mnamtaka MLALAMIKIWA ndio eti alete "vivid evidence". It is for you, the aggrieved party to prove the presence of "ghost voters and ghost voting stations". Acheni utoto au Bob Amsterdam hakuwaelekeza vizuri nini cha kusema!?
 
Upinzani Tanzania ni wa Kitoto hivi kweli kuna mtu anaweza kupeleka timu yake mashindanoni huku akijua muamuzi ni mchezaji wa timu pinzani?
Labda TUNDU LISSU anaweza
 
Hiyo inawezekanaje wakati matokeo ya majimboni ndio lazima yawe ni copy right na ya tume.

Anyway, wapinzani waliishafanya kosa kubwa la kutokudai tume huru ya uchaguzi na sasa kitakachofanyika ni matokeo ya jimbo x ya urais yatakavyokuwa jimboni na makao makuu ya tume yatakuwa tofauti na kibaya zaidi hakuna pa kushitaki.
 
WATAJUA WENYEWE ingawa ni Tume hii hii amabayo imekuwa ikiwapeleka Bungeni miaka nenda miaka rudi.
 

Wewe ni mgeni katika nji hii?
Wapinzani wadai Tume Huru mara ngapi? CCM walikataa Katiba Mpya na wamekataa Tume Huru...what do you expect?
 
Upinzani Tanzania ni wa Kitoto hivi kweli kuna mtu anaweza kupeleka timu yake mashindanoni huku akijua muamuzi ni mchezaji wa timu pinzani?
Labda TUNDU LISSU anaweza

This time itawezekana tu.......weye subiri 28 Okt,2020 uone muziki wake!!!
 
Sasa hapa unawapa pole wapinzani au wa-Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…