Uchaguzi 2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

Ulimwona mwenyekiti wa CCM wilaya ya Karatu? Amejisalimisha,, nini maana yake?
 
Eeenh, wewe ni DAKTARI wa majitu gani?
 
Tatizo la MafisiCCM ni kukurupuka.
Jitu halijaelewa mada limeshadandia bila tafakuri! Pambaf!
What I am saying is Mwenyekiti& Mkurugenzi-NEC wanatakiwa kuleta Ushahidi wa KUTHIBITISHA kuwa there're no ghost voters or ghost voting stations to prove CHADEMA wrong. Wakti huohuo CHADEMA na vyama vingine nao walete Ushahidi wao wenye KUTHIBITISHA kuwa there're GHOST VOTERS as well as GHOST VOTING STATIONS. Ndipo watu wenye akili timamu wajue who is right and who's wrong!!Umeelewa ewe nzi wa KIJANI?
 
Geita mpaka sasa Vituo hewa ni Buku mia tano ma tunaendelea
 
Hata kuandika "mall" hujui.
 
Mpe hongera huyo mjumbe
Mwambie sio yeye mwenyewe amemkana Tundu na uzuri ni kwamba mjumbe hauwawiπŸ‘
 
Wewe ni mgeni katika nji hii?
Wapinzani wadai Tume Huru mara ngapi? CCM walikataa Katiba Mpya na wamekataa Tume Huru...what do you expect?
Approach wanayotumia kuidai haiwezi kuwafanya waipate ni sawa na kondoo kumuomba fisi amuachie mwanaye.

Wakiwahusisha wafadhili ndani ya mwezi mmoja tu mchakato utakuwa umeanza. Magufuli hawezi kuendesha hii nchi bila Grants and Loans hata kwa miezi mitatu tu.
 
WATAJUA WENYEWE ingawa ni Tume hii hii amabayo imekuwa ikiwapeleka Bungeni miaka nenda miaka rudi.
Usiwe mjinga bwana, inachofanya hii tume ni kudhoofisha ukuaji wa demokrasia katika nchi hii.

Wapinzani wakipata wabunge 100 tume itawapa wabunge 30 tu na ndio hao unaowaongelea. Tume inawadhulumu hao wengine 70 kwa amri ya rais.
 
Where do elites get that time to waste!? Let the aggrieved parties prove that and not the NEC people, they do not that time to waste, UNLESS the Courts of Law demand it, but not from hearsays!
 
Where do elites get that time to waste!? Let the aggrieved parties prove that and not the NEC people, they do not that time to waste, UNLESS the Courts of Law demand it, but not from hearsays!
Jamii ForumsTungekuwa tunakutana Ulingoni tungetakiwa kuwa na Ambulances za kutoshaa hahaha
 
Kwa kweli
Usiwe mjinga bwana, inachofanya hii tume ni kudhoofisha ukuaji wa demokrasia katika nchi hii.

Wapinzani wakipata wabunge 100 tume itawapa wabunge 30 tu na ndio hao unaowaongelea. Tume inawadhulumu hao wengine 70 kwa amri ya rais.
I am very sorry siwezi kuendelea kulumbana na wewe on this, wana JF wengine wanaofahamu michango wangu humu watanishangaa! I am very sorry, binafsi naachana nawe on this, kwani naona unataka kuingia kwenye ulingo wa matusi!
 
Ushabiki wa vyama unawafanya mjifanye hamuoni kilicho dhahiri. Ccm ni dhuluma tu hawana lolote hao.
 
Na wakizikamata kura feki ambazo zina safirishwa bora wazipige moto wasiende nazo polisi
Nimeona video moja gari limezuiliwa likiwa na masunduku ya kupigia kura yenye kura ndani tayari wanadai ni mahindi πŸ˜€
 
Angalia huyu takataka, yani jamaa yako huyo unajumuisha watu wote..acha ufala ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…