Uchaguzi 2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

Ushabiki wa vyama unawafanya mjifanye hamuoni kilicho dhahiri. Ccm ni dhuluma tu hawana lolote hao.
Haya nayo ni mawazo yako na ni haki yako kusema na kuandika lolote kwani ni haki yako na unatumia uhuru wako.
 
Huo ndio ukweli wenyewe na hakuna wa TimuLissu atakaye ukubali and that is not my business!
 
MiCCM ni mijitu mitutusa na mipuuzi sana. Kama kweli imefanya mambo yanayoonekana kwa wananchi, inahangaika nini kuiba kura? Mipuuzi mikubwa!
ccm inashinda kihalali mkuu chagua magufuli mitano tena
 
Ndoto za jioni jioni hizi.
 
ccm inashinda kihalali mkuu chagua magufuli mitano tena
Nimchague mwizi aliyekwapua Tsh trilioni 1.8 kisha akamfukuza CAG baada ya kuugundua wizi wake? Sina unasaba na wezi mimi.
 
Heri kuwa kipofu wa macho mwili kuliko kipofu wa fikra. Uwe hivyo hivyo kama fikra zako zinavyojieleza. Watanzania tunasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.

unawezakuta anaesema hivi ni mfanyakazi aliyeahidiwa kuongezwa mshahara miaka mitano iliyopita
 
Nimchague mwizi aliyekwapua Tsh trilioni 1.8 kisha akamfukuza CAG baada ya kuugundua wizi wake? Sina unasaba na wezi mimi.
mkuu zile pesa zimetumika kijeshi na bajeti ya jeshi huwa haiwekwi hadharani mkuu chagua magufuli mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…