Ushauri wa Gerald Hando kuhusu tiktok ni mwiba kwa uhuru

Quora tena???moja ya application bora kwangu kwa kujifunza aiseee
Hata Tik- tok haina shida, wenye shida ni watumiaji.

Watu wanataka kufanya generalization kwamba kwa vile tik-tok haikubaliki na wengi basi mtandao mzima haufai.

Kama huyo alivyo sema Quora haifai, pengine yeye binafsi ndio anaona haifai
ila anafanya generalization kwamba Quora haifai kwa wote.

Sikweli, kuna vingine vizuri vya kujifunza kwenye tik-tok.
 
TikTok haina tatizo, ni suala la kuamua una follow nini na uache nini, kuna pages za mpira, hotels, mapishi, gospel, movies, engineering, medicine, mambo yapo mengi productive ni suala la mtu binafsi sasa kuamua
Watu wanafanya generalization kwamba kwa vile yeye hapendi Tik-tok basi anataka kila mtu asiipende.

Huku niku ingilia uhuru wa mtu.
 
Elimu yao Haina mashiko,Afrika bhana bange tupu watu wanawaza kwa kutumia MADAKO.
Akikaa basi,amekalia ufahamu wake wote,akinyanyuka basi angalau.

Ningewaona wajanja,Kama kweli mko siliasi,mpige marufuku simu zote zenye uwezo WA kushika Internet.
Mamlaka waruhusu viswansadu tu kuingiaa Nchini.

Kuruhusu simu kubwa,ndo kuruhusu mengi.
Hakuna mtoto anaemiriki LAPTOP.
So,msijizime DATA,uwezo WA kufikiri hawanaga.

Hauna hata uwezo WA kutengeneza sindano,ila unapambana kuzimwa au kuzuia social network za wenye IQ kubwa.Shame on those.
 
Huo mtandao hata sijawai kuujua ukoje
Me ni jf.x imean twitwer.na instagram kidogo na you tube basi
 
Wadangaji wamekuwepo tangu karne za kale, empires zote kubwa duniani zimekuwa na wadangaji na brothels.
 
Si TikTok pekee hata upuuzi uitwao Instagram, Telegram, Facebook ni uozo mtupu.

JF, LinkedIn, Sky sports, Goal.com ndiyo Apps sahihi kidogo na Twitter.
twitter/x imejaa wapumbavu wengi wao wanajiona wasomi bora facebook kuliko twitter.

Na Jf isipokuwa makini itakuwa ujinga maana mada za kipumbavu ni nyingi.
 
Kama walivyo fungia mitandao ya warumi kwa sababu za kimaadili tiktok nayo inapaswa kufungiwa vile vile kwa sababu haina tofauti na ile mitandao ya kirumi tena huko ni zaidi kwa sababu wana hamasisha Sana ushoga na usagaji bila kusahau umalaya ambavyo ni makosa kwa sheria za Tanzania
 
Tiktok kuna influence ya ajabu sana kwa vijana nimeshashuudia watoto wanafatilia hizo page sijui live nini za usagaji na ushoga. Wanaambiwa uzuri wa hayo mambo
Sio TikTok tu hata TWITTER(X) Kuna pornographic video and pictures kibao. Za aina mbali mbali.

Twitter ni nzito aisee nyie INATISHA .
 
Nashukuru Mungu nilichoandika hapo juu ndicho nilichonacho kwenye simu, sipungukiwi chochote wala sina uhitaji na mitandao mingine zaidi.
 


Huwezi kueleweka, tumeshachelewa sana mpaka hapa.
 
TikTok haina tatizo, ni suala la kuamua una follow nini na uache nini, kuna pages za mpira, hotels, mapishi, gospel, movies, engineering, medicine, mambo yapo mengi productive ni suala la mtu binafsi sasa kuamua
Kiasi kwa kila jambo ndiyo kanuni inayonipatia furaha kimaisha duniani.
 
Rafiki kwa nini wewe bado leta iyo tiktok hapa longido
 
twitter/x imejaa wapumbavu wengi wao wanajiona wasomi bora facebook kuliko twitter.

Na Jf isipokuwa makini itakuwa ujinga maana mada za kipumbavu ni nyingi.
Wala sijawahi kuingia huko Twitter japo nilisikia tu Watu wakisema hivyo, ndiyomaana nilidokeza "kidogo na Twitter"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…