Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

Mzuzu naupata sana..kuna aina nyingne ya mzuzu inaitwa mkonge wa tembo unaujua??inatoa ndizi kubwa sana na ndefu mno kuliko ndiz nyingne mkuu.nmeziona hapa kilwa natafuta hyo mbegu kwa udi na uvumba
SAM_0282.JPG
 
kule kwetu majani ya migomba huwa tunatengenezea vijiko vya kulia kande tunaviita 'ndundu' huwa vinafaa sana kulia makande hususani msibani,migomba ina faida lukuki!
 
naona mkonge wa tembo (french horns) hazichukui mda mrefu kama french zingine.
SAM_0296.JPG
 
kule kwetu majani ya migomba huwa tunatengenezea vijiko vya kulia kande tunaviita 'ndundu' huwa vinafaa sana kulia makande hususani msibani,migomba ina faida lukuki!
siku hizi hazitengenezwi. hapa Mbeya mjini misibani ni wali tu
 
siku hizi hazitengenezwi. hapa Mbeya mjini misibani ni wali tu
mkuu kwa bibi yangu ngujubwaje bado tunazitumia mwe bhana bha munjhini ihela ndo zinawapa jeuri maana siku hizi mnafungaga na maduka kabisa mshawaiga wakinga mnaacha asili yetu,rudini kwenye asili angetisye
 
hahaa, hata lugha tunajidai hatujali, angetisye ndiyo ninashangaa? ila maswisa bado tunakula.
 
Mkuu Red Giant tunaomba mrejesho wa mradi wako wa Rungwe. Vile vile naomba unifahamishe bei za mashamba huko zikoje na ni kwa kata zipi za rungwe.

Natanguliza shukrani
niliona Rungwe ni ngumu kufanya kilimo cha biashara. ardhi ipo ndogo, bei kubwa na ya milimamilima. bei ni kubwa sana. eti eka 1.5 mtu alianzia 12m!. nilipata sehemu nyingine 3 acres ndiyo hiyo hapo juu. ni yakumwagilia
 
Poa poa Mkuu ngoja nijipange nikaangalie sehemu ya Kilima pia
 
habari za wakati huu wadau,naomba kujuzwa/kueleweshwa zaid kuhusiana na kilimo cha migomba mwenye kufahamu plz nini changamoto zake,aina ya migomba,maradh nk asanten
 
ivi ni kilimo cha migomba au kilimo cha ndizi?

najutaa kuacha shule nikiwa form two.

ndizi gani unataka kulima?
au
migomba gani unataka kulima?
 
Back
Top Bottom