Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

SAM_0692.JPG
 
Kama title inavyojieleza, nataka ninunue shamba kwaajili ya kilimo cha ndizi Morogoro.
Kwa mwenye taarifa ya sehemu ambayo migomba hustawi anijulishe
 
Kwenye connection ya mashamaba Ulaya, Mbingu Ifakara mbaka Malinyi Tafadhali
 
Hahahahaa Migomba inastawi sehemu yoyote ile. Hata Dodoma inastawi pia. Hivi unaamini Dodoma.unaweza lima Magimbi? na ukavuna kabisa kwa kiwango kikubwa?
 
Jamani Mie nauliza maeneo ya Tanga mjini jee naweza lima migomba kibiashara?
 
Back
Top Bottom