Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Mbona mnaongea kana kwamba tumepata uhuru leo juma nne,kama unakili kuvunja katiba mbovu kwaiyo ni sababu ya kutokupata katimpya,vipi kuiba hizo dhaabu itashindikana nini?

ccm lazima iondoke muda wake umekwisha au indolewe,katba sio kwajili ya uchaguzi peke hata hizo dhaaba bila katiba ni story,katiba ni sio ombi.
 
Mbona mnaongea kana kwamba tumepata uhuru leo juma nne,kama unakili kuvunja katiba mbovu kwaiyo ni sababu ya kutokupata katimpya,vipi kuiba hizo dhaabu itashindikana nini?
Katiba siyo mwarobaini wa matatizo tuliyonayo. Nimekuandikia kwa kifupi sasa ili unielewe.
 
Kwanini msitengeze kampuni pacha.

Yaani kampuni moja ya Serikali kwa kushirikiana na kampuni ya wawekezaji.
 
Ndio anashauri sasa hizo sera za ubinafsishaji zitungiwe sheria upya zibadilishwe serikali inunuee dhahabu.
Washauri kama nyie mkikutana na viongozi wajinga mnawapoteza. Ulishaingia mkataba kwa masharti fulani, alafu baadae ndiyo uje ubadili sheria na kuwabana.!! Mawazo kama yako alikuja nayo Rais Magufuli, hivi unajua tunanyolewa kiasi gani kwa ile mikataba iliyovunjwa ama kukiukwa? Na unajua bado tuna msururu wa kesi za namna hiyo mahakama za kimataifa?. Kifupi huyo Faiza Foxy hajashauri chochote hisipokuwa kakurupuka kuandika kitu kinachomzidi uwezo wake wa kufikiri.
 
Tofautisha kuvunja mkataba na kubadili sheria. Kwani hii mikataba ya madini haina ukomo?
 
Wazungu wa Barrick wauze BOT ??!
Never !!
 
Kikwete hahahahahah stop comedy
 
Una malaria

dhahabu yangu nimechimba kwa nguvu zangu,unanilazimisha nikuuzie wewe kwa lazima kwa bei unayotaka wewe?

lazima ukae kwenye market kama wengine na kama unatoa offer nzuri ndio nikuuzie

hiyo inaitwa state robbery

cha ajabu kuleta udikteta huo hakuna mtu atachimba,watakuachia wewe bwana serikali uchimbe mwenyewe kitu ambacho huwezi na huna hela wala utaalamu wa kuchimba

pili utaleta black market ya ajabu,wanachi watachimba kwa wizi na watauza kwa wizi hata hicho kidogo cha kodi HUPATI

ungejua serikali ni organization iliyo limited sana wala usiongelee hapa

serikali ukisema USICHIMBE haimaanishi watu hawatachimba,WATACHIMBA penda usipende na watauza nje na kodi hupati...huna jeshi la kushika wote na kusimamia migodi yote wewe!

Serikali ni takataka sana

na wanasiasa wanaoingia serikali ni takataka zaidi kama ulivyo wewe hapo.....how can u regulate biashara kijinga hivyo?

mlipiga marufuku madawa ya kulevya,mmefunga wangapi na mtaani yapo mangapi na bado biashara ipo haitakaa iishe hata mkate vichwa wananchi wote,nothing you can do!
 
Walishajaribu kitambo hiyo biashara lakini wakapata hasara kubwa Benki maana inasemekana walikuwa wanauziwa makakumba mengi kuliko dhahabu !😅😅
 
Hatari sana !! Watakuwa wakinunua kakumba kisha waje waseme wamekula hasara !!
 
Lakini dhahabu nyingi ya kutufanya tuwe matajiri tulishawagaia rafiki zetu Wazungu kitambo sana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…