Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Hatukushangai ni ujinga tu unakusumbuwa. BOT haitogeuka kampuni bali anasimama kama custodian wa mali za watanzania tu na kwa kuwa wao kama miongoni mwa regulators wa mambo ya uchumi wataweza kustablize mambo yanapokua magumu kama hivi sasa.
Wewe uwehu ndio unakisumbua!! Dhahabu yoote inunuliwe na BOT hiyo unaona niakili Tena kisheria!!!
Hamjui uchumi mnadhani nchi inaendeshwaga kimihemuko kama mwendazake alivyodhani.
Uchumi unafomula na njia zake bwandogo nchi haiendeshwi kama unaendesha kikaya
 
Mkuu hoja yako inamashiko hongera sana, isipokuwa chini ya CCM, hilo usitegemee kama linaweza kufanyika, labda chini ya serekali ya chama kingine. Waliopo madarakani nobody cares wanachojali ni matumbo yao na familia zao.
 
Mkuu hoja yako inamashiko hongera sana, isipokuwa chini ya CCM, hilo usitegemee kama linaweza kufanyika, labda chini ya serekali ya chama kingine. Waliopo madarakani nobody cares wanachojali ni matumbo yao na familia zao.
Vyama vingine ambavyo havina hata sera? Usinchekeshe.

CCM ya mama Samia ni tofauti sana


Wacha nimsikilize mama Samia, sasa hivi anawapa utajiri vijana live.

Inapendeza sana.

Kaongelea kidogo yajayo bandarini.
 
Vyama vingine ambavyo havina hata sera? Usinchekeshe.

CCM ya mama Samia ni tofauti sana


Wacha nimsikilize mama Samia, sasa hivi anawapa utajiri vijana live.

Inapendeza sana.

Kaongelea kidogo yajayo bandarini.
Mkuu hapo ndio unapokosea, chama ni taasisi, si utashi wa kiongozi ama mtu mmoja. Kama taasisi inaongozwa kwa kutegemea utashi wa kiongozi, badala ya kuwa na mifumo endelevu ya kitaasisi, hicho chama ni mfu. Dereva hata awe mzuri vipi ukimpa gari bovu, umahili wake hauta uona.
 

Miaka ya Mzee Mwinyi, baada ya Mrema(RIP) kukamata dhahabu Airport, BOT walianza utaratibu wa kununua dhahabu. Ile iliyonunuliwa iliishia wapi?
Hii nchi ilivyo, msije kununua copper mkadanganya ni dhahabu. Halafu akatafutwa muwekezaji wa kuja kununua dhahabu baada ya sisi kushindwa.
Sisi ni fully commedy!
 
Kweli kabisa tulianza kununuwa dhahabu.

Sifahamu iliishia wapi.

Hilo la shaba kinawezekana kabisa. Watanzania walivyo wezi. Dah yaani ukienda hivi unapigwa, ukirudi hivi unapigwa. Kazi kweli kweli.

Inabidi tufanye kama USA, Federal Reserve:

Mfumo wa Hifadhi ya Shirikisho unachukuliwa kuwa benki kuu inayojitegemea. Ni hivyo, hata hivyo, kwa maana tu kwamba maamuzi yake si lazima yaidhinishwe na Rais au mtu mwingine yeyote katika tawi la utendaji la serikali. Mfumo mzima unasimamiwa na Bunge la Marekani….Hifadhi ya Shirikisho lazima ifanye kazi ndani ya mfumo wa malengo ya jumla ya sera ya kiuchumi na kifedha iliyoanzishwa na serikali...

Soma zaidi: Is the Federal Reserve a privately owned corporation? – Education.
 

Hapa umeongea la ukweli...watanzania tuna shida ya uwizi. Maana kila kitu tunafikiria kupiga
 
Kwani kuna anayewazuia BoT kununu dhahabu kwa sasa?? Si waende kushindana kununua na wanunuzi wengine.
 
EPA ulikuwa ni wizi uliohusisha BoT
 
Wewe ukiambiwa uwe unalipwa mshahara kwa dhahabu au dola ya Marekani utachagua nini??
 
Waambie kwanza BoT waajiri watu wa kupelekea wateja hiyo dhahabu duniani kote.
 
Serikali yako inakopa kila siku, haina fedha za kununu dhahabu ya kuwatosha wananchi wote watakapohiitaji.

Pia dhahabu sio sawa na fedha za kigeni.
Dhahabu ni bidhaa tu kama mawe ya kujengea n.k.
 
Eti sisi leo ni wakupitwa na Kenya kiuchumi hawachimbi hata mchanga hapo Kenya nchi imejaa udongo mtupu ile. Botswana inakaribia kufikia nchi za ulaya kwa GDP lakini wameweza baada ya ku manage vizuri dhahabu yao.
Singapore, Israel na Switzerland hazichimbi chochote ila nchi tajiri zaidi duniani, utajiri ni akili zaidi kuliko rasilimali.
Botswana haikaribii kufikia nchi za Ulaya kwa GDP na pia Almasi ndizo zinawapatia mapato sio dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…