Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

Nashukuru kuwa mama Samia kauona huu ushauri na kaufanyia kazi haraka sana:

 
Hili wazo halina tofauti na lile la kununua korosho kwa wakulima, tofauti kule lilitumika jeshi na huku unapendekeza BOT
 
Nongwa iko wapi kwa Wazungu kuchimba na kwenda kuiuza kwenye masoko yao?
Huyo kijakazi hazungumzii wazungu wowote hapo.
Hapo chini kajieleza
Nanukuu
[Kiarabu rasmi kabisa, ambacho ndipo Kiswahili kiliilipata neno hilo.)
Bia -Shara kasema.
Huyu na yule babu mwingine wa historia ya Tanu ilipotoshwa,
Siwaelewagi
Thanks Quote
 
Hili wazo halina tofauti na lile la kununua korosho kwa wakulima, tofauti kule lilitumika jeshi na huku unapendekeza BOT
Tofauti ipo kubwa sana. Ile ni trading, hii ni reserves.

Nashukuru limeshaanza kufanyiwa kazi na BoT.
 
Unayo madini Dada...
 
Enough gold reserve mean stable economic and currency!
Lakini bila stable electrification, and good affordable tax rate hakuna lolote, haya yote huenda pamoja kama Pete na chanda,thank you FaizaFoxy
Pia mkazo uwekwe kwenye digital economy hapa ndipo mabeberu wanapotuzidi kete, yaani manunuzi ya watanzania yatumie zaidi e card, badala ya cash money, kwani maujanja mengi ya ukwepaji kodi yatakoma, kwenye mabasi tu swap, madukani tu swap, tuondoe mabunda ya fedha mikononi na kuwe na kiasi kinachoruhusiwa mtanzania kuwa nacho in term of cash, game over!
 

Kwani dhahabu inayochimbwa na stamico inaenda wapi??
 
Serikali yako inakopa kila siku, haina fedha za kununu dhahabu ya kuwatosha wananchi wote watakapohiitaji.

Pia dhahabu sio sawa na fedha za kigeni.
Dhahabu ni bidhaa tu kama mawe ya kujengea n.k.
Kwaakili hizi tutachelewa sana kufika ia nashukuru BOT wameanza kufuata ushauri wa kununua dhahabu hawajakusikiliza wewe mbumbumbu.
 

Attachments

  • 20230927_070103.jpg
    125.1 KB · Views: 1
Hii ndio inaitwa Having your Cake and Eat it Too.....; Huku mnataka Soko Huria kwamba Hata Bandari hatuwezi kuendesha na Tanesco tubinafsishe Huku watu wahangaike kuchinga ili wapate as much money as possible lakini unataka wawauzie nyie ambao hamjachimba wala kuinvest kwenye uchimbaji !!!! Kule ooh mitandao wezi kwanini bei za bundle kubwa (wakati mna kampuni yenu ya TTCL)

Kama ni hivyo kwanini msifanye kila kitu nyinyi kuanzia kuchimba mpaka kuuza...., Haya mambo ya kutokujua tunataka nini hatima yake tunapotea tu.....

 
Mimi naamini tukiwa na reserve ya dhahabu ya kutosha, hata pesa zetu zitakuwa na thamani ya kufanyiwa biasshara duniani (Easily convertible currency).
Sio kweli, kuna mataifa mengi makubwa tu yenye reserves kubwa za dhahabu ila bado pesa zao hazitumiki katika biashara ya kimataifa, zaidi ya 80% ya biashara ya kimataifa inatumia US dollars.
 
Great depression ilitokea mwaka 1929 na ikadumu hadi mwaka 1939. Huo ulikuwa ni wakati wa gold standard na sababu mojawapo ilichukua muda mrefu hivyo kwa mataifa makubwa kurekebisha chumi zao ni kwa sababu ya gold standard.
 
Sio kweli, kuna mataifa mengi makubwa tu yenye reserves kubwa za dhahabu ila bado pesa zao hazitumiki katika biashara ya kimataifa, zaidi ya 80% ya biashara ya kimataifa inatumia US dollars.
Unafahamu fedha nazo hutangazwa na hutawanywa kwa ujanja lakini ni lazima uwe mzalishaji mkubwa wa bidhaa, Chinese wanapigana kweli juu ya hili ipo siku watafaulu, kitambo kidogo US ali dominate soko la dunia kwa kiasi kikubwa mno!
 
Kwani dhahabu inayochimbwa na stamico inaenda wapi??
wanachimba,wanajua lolote?

stamico ni net loss au profitable ukipitia vitabu vyao

ni loss

yaani hela wanazotumia kuchimbia ni nyingi kuliko vimadini wanavyopata

dhahabu wakipata wanapeleka BOT kuweka stoo wazubiri kuja kufanyia forex ili wafanye international trade

pia kwenye kuuza wanajua hao BOT?hawajui,wanapata bei za chini wanapigwa,they dont know shit!

wanauzaga kwa mnada,hivi mnada ni the best way of selling anything kwa profit kama biashara kweli?

serikali ni mavi

hawajui wajibu wao wa kusimamia sheria za nchi,kujenga mali ni kazi ya wananchi ndio wanajua hasa,ila yenyewe ni lazima ipeleke matak0 kila pahali!
 
Yote uliyosema yanafanyika, na zaidi ya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…