Ushauri wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyamavingine

Ungesikiliza hotuba yake siku anatangaza nia ya kugombea usingeleta hii hoja yako kwani alieleza kila kitu. Mshukuruni amewaonyesha njia.
 
Ungesikiliza hotuba yake siku anatangaza nia ya kugombea usingeleta hii hoja yako kwani alieleza kila kitu. Mshuruni amewaonyesha njia.
Tunashukuru Mwana CCM mwenzetu Tundu Lisu ambaye ofisi yake ya kazi iko Chadema kwa wazo zuri
 
Bogus!
Unajua maana ya ukomo? Unajua kwamba kila baada ya miaka 4 chadema hufanya uchaguzi wa viongozi kama walivyofanya mwka huu? Unaju kwamba kabla ya uchaguzi huwa kunakuwa na ukomo wa uongozi?
Kwamba hata samia mwaka huu ni ukomo wake wa uongozi kwa kipindi cha miaka 5?
Hujui tofauti iliyopo kati ya ukomo na kuchaguliwa tena kuongoza? Aibu
 
La yeye Lisu kusema abataka ukomo wa uenyekiti Chadema hilo.wazo Lisu alilitoa wapi kama sio CCM? Na likamsaidia kumtoa Mbowe
Lisu hana chochote cha kuiga toka ccm boss. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuiga chochote toka ccm.
 
Anafanyia kazi mawazo yake wakati hana hata Siku 60 kwenye hicho cheo?
 
Hata ubunge wa kuchaguliwa uwe na ukomo. Kuna watu wamefanya bungeni kama sebuleni kwao kisa wanaweza kuhonga wananchi masikini na kuwa wabunge. Mtu amekaa bungeni miaka 30 anafaida gani? Mfano hawa wabunge wamekaa bungeni zaidi ya miaka 20, kipi cha ajabu wamefanya kuendelea kukaa bungeni?
1. Abood wa Morogoro Mjini
2. Zungu wa Ilala
3. Jenista Mhagama
 
Lakini hakuna anaefuja pesa za wananchi na viongozi wanaofanya hayo huchukuliwa hatua. Jee tanzania kuna kiongozi gani aliyewahikuchukuliwa hatua kwa ubadhilifu wa mali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…