Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Gharama za mafuta inategemea na kilomita anazotembea kwa siku. Kwa mfano mimi umbali kutoka nyumbani hadi kazini ni kilomita moja.
 
Kama mdau anasema wabongo wengi hawana tabia ya kufanya service, hata akipewa 0km ataliua tu.

Gari service ni lazima, uwe umenunua 0km, second hand (Japan) au mkononi.
 
Nashukuru kk ngoja nije inbox nipate machache
Chukua gari dogo,haya maneno yapo tu,hata siku ukitaka kununua friji watakuambia "friji inakula sana umeme usinunue itakufirisi". Cha msingi zingatia aina ya gari,matunzo na matumizi yasiyo holela,achana na hao wenye mawazo ya kimaskini!
 
ndio mkuu nipo dar ndo kazi yangu kuuza magari used tanzania na kutoka japan niko magomeni karibu
0623953036 calls/whatsapp

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nafurahi. Mimi career yangu ni ya magari pia ila si kuuza, na wish nije kukutembelea hapo siku moja nijifunze mawili matatu kutoka kwako kaka mkubwa!.
 
Hadi sasa nimefanikiwa kumiliki kwa wakati tofauti Ist, Premio, Crown , 3 series bm , Forester and Vanguard.

Ushauri wangu nunua gari kutokana na matumizi yako na kipato chako , kama unamizunguko mingi nunua gari yenye consumption ndogo na reliable. Ist , raum nk..

Kama ni mtu wa kutumia gari weekends na huna mizunguko mingi kwa kipato ulichosema then unaweza kuchukua gari tofauti na nilizotaja hapo juu kulingana na unachopenda.

NB. Kumiliki Gari ni sawa na kumiliki mwanamke tu , Gari linataka matunzo hata liwe IST.
 
Pambana ununue second hand kutoka nje. IST au VITZ. Ukinunua third/fourth hand spana mkononi. Binafsi siku sio njingi nadaka IST second hand.
Mkuu najaribu kukucheck pm inashindikana kiongozi
 
Aisee noma sana
 
ivi zile forester min ladha yake ikoje ?
 
ivi zile forester min ladha yake ikoje ?
Mkuu zote ni Forester sema utofauti ni miaka from 2008 kwenda chini zina body ndogo ambazo wewe ndo unasema min , kwanzia 2009 Subaru alibadilisha body zikawa na umbo kubwa kidogo ilikuenda na soko la small SUVs kama unavyoona RAV4, Honda CR-V , Mistubishi outlander etc.

Kurudi kwenye swali lako ni gari nzuri consumption ya mafuta ni kawaida 9km-11km kwa litre kwa engine ya cc 1990 ingawa kuna zenye engine za cc 2500 na turbo pia inategemea wewe unataka nini.

Overall nunua ambayo Ina millage ndogo ukipata ambayo ina millage kubwa alafu haikuwa na matunzo mazuri itakusumbua sana.
 
comfortability yake iko kwenye 150km/h? kwa izo min
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…