Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Nunua Passo, Agiza kutoka nje achana na kwa mtu.. mafuta inanusa tu kama hauna mizunguko mingi 20k kwa wiki,, pia service inategemean na uendeshaji wako khy USIOGOPE
 
Nunua Passo, Agiza kutoka nje achana na kwa mtu.. mafuta inanusa tu kama hauna mizunguko mingi 20k kwa wiki,, pia service inategemean na uendeshaji wako khy USIOGOPE
Ukiagiza nje bei gani
 
Nikushauri usinunue kwa mtuu utajuta wabongo magari mengi hayafanyiwi service nikaushauri nunua premio 1500cc hiyo autajutia maana hata matumizi ya mafuta inatumia kidogo au chukua Runx autajutia ila kwa mtuu hapana
Mbongo akiwa anataka kuiuza anaipaka hadi mafuta ya nazi
 
Nunua Passo, Agiza kutoka nje achana na kwa mtu.. mafuta inanusa tu kama hauna mizunguko mingi 20k kwa wiki,, pia service inategemean na uendeshaji wako khy USIOGOPE
Premio ina shida gan?
 
Hiyo pesa haitoshi hata kula kwa mwezi moja.
Gari ndogo kama ist , passo, starlet mafuta kwa siku si chini ya 20k i.e. lita 7
Bora ununue tvs au boxer
Elf 20 lazima utoke kila siku na umbal gar acha story za kukatatish tamaa
 
Habari wana Jf?

Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.

Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.

Mchango wenu wakuu
Usicheze mbali na IST ama Vitz
 
Ukiona gari lako unaendesha mara 1 kwa week liuzee tuu labda kama haupo mkoa ambao usafiri ni changamotoo ilaa garii rahaa sanaa japo huwezi kuja nalo kila siku
😂😂😂😂😂😂Raha sana ikiwa kipato kinaruhusu. Huwezi kuchagua kuilaza familia njaa ili tu uendeshe gari huo utakuwa ni utoto.
 
Back
Top Bottom