mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ndio hivyo mkuu nilipata funzoPole sana mkuu ilitaka kukuua..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo mkuu nilipata funzoPole sana mkuu ilitaka kukuua..!!
Anunue baiskeli au zile pkpk za kuchaji na umemeKama kipato chako ndio hiko na hutaki stress, nakushauri usinunue gari na usije kudanganyika hata vits usinunue.
Nina sababu zaidi ya 10 kukwambia hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiagiza nje bei ganiNunua Passo, Agiza kutoka nje achana na kwa mtu.. mafuta inanusa tu kama hauna mizunguko mingi 20k kwa wiki,, pia service inategemean na uendeshaji wako khy USIOGOPE
Mbongo akiwa anataka kuiuza anaipaka hadi mafuta ya naziNikushauri usinunue kwa mtuu utajuta wabongo magari mengi hayafanyiwi service nikaushauri nunua premio 1500cc hiyo autajutia maana hata matumizi ya mafuta inatumia kidogo au chukua Runx autajutia ila kwa mtuu hapana
Premio ina shida gan?Nunua Passo, Agiza kutoka nje achana na kwa mtu.. mafuta inanusa tu kama hauna mizunguko mingi 20k kwa wiki,, pia service inategemean na uendeshaji wako khy USIOGOPE
BeiPremio ina shida gan?
Used from bongo au from japan
😂😂😂 Boss kama kipato kinaruhusu chukua pikipiki za BMWivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda
Elf 20 lazima utoke kila siku na umbal gar acha story za kukatatish tamaaHiyo pesa haitoshi hata kula kwa mwezi moja.
Gari ndogo kama ist , passo, starlet mafuta kwa siku si chini ya 20k i.e. lita 7
Bora ununue tvs au boxer
Usicheze mbali na IST ama VitzHabari wana Jf?
Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.
Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.
Mchango wenu wakuu
Vitz new ya 1KR engine ni kimeo cha hatari4m ndio nini mkuu, aiagize vitz new model 990cc, 13m
😂😂😂😂😂😂Raha sana ikiwa kipato kinaruhusu. Huwezi kuchagua kuilaza familia njaa ili tu uendeshe gari huo utakuwa ni utoto.Ukiona gari lako unaendesha mara 1 kwa week liuzee tuu labda kama haupo mkoa ambao usafiri ni changamotoo ilaa garii rahaa sanaa japo huwezi kuja nalo kila siku
True😂😂😂😂😂😂Raha sana ikiwa kipato kinaruhusu. Huwezi kuchagua kuilaza familia njaa ili tu uendeshe gari huo utakuwa ni utoto.